Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

Kuna wanawake wasenge sana huyo hata akipigwa ni sawa.
 
Inasikitisha sana kwakweli kwamba mtu amekosa namna ya kumuadhibu mtoto mpaka anamponda na kipande cha tofali as if anapiga mwizi...

Halafu sijui kwanin tu hizi domestic violence zinazopigiwa kelele ni zile za mwanaume kumpiga mwanamke tu.... ni nadra sana kusikia hao wanaharakati wenu wakipigia kelele unyanyasaji unaofanywa na wanawake kwa watoto.
 
Piga chini hiyo takataka
 
Mpumbavu huyo asubiri kifo tu kutoka kwa huyo single mother wake
 
Yaani sisi baadhi ya wanawake ni maroho mbaya,eti katumwa kuwagombanisha mtoto mdogo namna hiyo tafuta la kumuweka huyo mtoto maana mke wako hamtaki afu kabla ya kumtafutia pa kukaa hvi
Kwani hapo nyumbani kwako mke ni wewe au yeye ni mke? Namaanisha kiongozi wa familia yako ni nani
 
Nimehisi kulia mwenyewe..Dah hapo pagumu lakini kama mwanaume hapo unatakiwa bandidu sana..

Lakin kubwa zaid haya mambo yanahitaji sana msaada wa Mungu,

Jitahid kama kichwa cha familia kujenga na kutengeza ukaribu wa familia. Jitahid kuwa mtu wa kuwah nyumban kabla watoto hawajalala. Weka utaratibu wa ibada za pamoja kila asubuh au jion au asubuh na jion kwa pamoja. Mungu anapokua katikat yenu husaidia kuzuia haya, hata kama watafanya kinafiki.

Kumbuka watoto wenzie (wako) kumuona mama yao anafanyabhaya na hata wao hawakuambii bas jua mkeo anawa harras mind zao na kuwafanya kuona kuwatesa wenzao ni jambo jema lisilo na shida.
Maadam hata wao hawajawah kukudokeza basi mkeo anaweza akaja kuwa tengeneza hata wao waje kuwa kinyume na wewe siku chache mbele.

TEngeneza ukaribu na waalimu wa mtoto shulen kila siku kuhakikisha mtoto amefika shule na amefika kwa wakat. Pata hata teacher mmoja wawil wafanye washkaji zako.

Tengeneza sana ukaribu na mpangaji wako huyo na mawasiliano ya kawaida ya mara kwa mara upate feedback za kila mara.

Introduce idea kwa mkeo ya kuwa na security cameras mahala pote pa waz kwa lengo la ulinzi na usalama wa nyumba yenu lakin lengo likiwa ni kuhakikisha uwaz ili mkeo aogope kufanya huo ukatili.

Jenga sana na rutubishabukaribu na wanao wa kuwazaa wafunze upendo, tenga muda wa kuwa nao wafanye kuwa na maadil na hofu ya Mungu ambayo mpaka sasa inaonekana hufany hicho kitu.
Wawe na uchungu wa kuoneana huruma. Ushagundua mkeo ni kiburi, usipokua makin atakutenganisha na wanao na hil utaliona baadae sana.

Mungu akusaidie sana ndugu yangu.
 
Mwanamke akisema kama nimemchoka niseme arusi kwao,mda huo huo namwambia achague anachotaka kuondoka nacho.

Mpaka hapo wewe Jamaa jiandae kuteswa zaidi kama huyo mtoto umri ukisogea zaidi.

Huwezi kuishi na mtu wa hivyo ,Bora ukae mwenyewe na huyo mtoto
 
Juzi tu ulidai umemaliza chuo, hauna kazi maisha ni magumu sana.. Leo umeoa na una watoto wawili + mtoto ambaye ni ndugu wa mkeo Yuko form four + huyo mtoto wa dada ako anayepigwa na mkeo na ana miaka 8. Wote hao unawalea wewe... Au basi ngoja nikuache wakupe ushauri...
 
Hao ndio wanawake,ngoja nitafute mtoto wa ndugu yangu nimuweke kwangu nijifunze kama huyu Yuko hivyo au laa.

Hapo Bado hujasema utasema tuu huko baadae 😂😂
 
Hakuna Cha shida, wanawake 90% Huwa na wivu hawawezi kulea Watoto wa wengine hapo anapiga hesabunza mbali sana.
 
Akileta kesi majanga yanaanza.Sio sawa kuishi Kwa kukwamini mwanamke hata siku Moja,ndio maana tunaambiwa Ukiwa na 100,tumia 70 Kwa mambo ya nyumbani na 30 Iweke Kwa tahadhari Kuna siku itakusaidia.
 
Fukuza huyo mkeo kahaba asiyejali ndugu zako.. kabla ya kumfukuza mwingilie kinyume na maumbile akome kutesa watoto.
 
Kama ulikuwa huwajui wanawake linapofika swala la kutunza ndugu ndiyo hao! Lakini hata hivyo inategemeana na msimamo wako!
Labda tuanze na hapa! Ukisema ni mtoto wa marehemu dada yako,baba wa mtoto huyo ni nani? Yupo hai?
Kama yupo kwa nini kusiwepo utaratibu wa kumpeleka kwa baba yake?
 
Kabisa huyo ni anastahili kufunguliwa kesi kama child abuser

Tena hii itakuwa ndio njia rahisi ya kuachana nae, maana huyo mwanamke akitoka hapa atakuwa na hasira sana na yeye kitu kitakachopelekea kutoendelea na hiyo ndoa.
Hili hawezi Kwa sababu ni Mke wake sjo atakuwa na huruma nae na pia Watoto wake hawatamuelewa.

Ndio maana naionaga Bora hata kuo Mke mwingine
 
Hapo hakuna mwanamke brother huyu ni chuma ulete kwako fanya maamzi huo ni ugonjwa unakua
 
Kama ukwasi upo...mpeleke Boarding.Pia Fungal Kamera ndani...upate ushahidi ukamfunge jela hata miaka 2 akitoka atakuwa na nidham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…