Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

Dah yaani
Aisee nina mtoto wa mume wangu anakujaga likizo umr wa miaka 12
Aiseee sionagi baya lake japo wanaokujaga ndo wanasema mtoto mkubwa hivi hajui hata kutoa chombo
Akimaliza kula,naonaga sawa tu maana hata wanangu naenda nao hivyo hivyo
Nasema kama wa kiume hawajui hizo kazi why mdogo hivi kisa wa kike awe anafanya hizo activities
Mi napenda watoto wa kike sana
Wa ndugu zangu natamani kuja kumchukua ni ishi nae kabisa

Aisee mtu anae enda physical kwa mtoto wa miaka nane si ni la pili??
Kwa nini anamkokota namna hiyo??
Kabisa ma km yuko dar atupe mtoto huyo tukae naye.! Hata kama wa kiume mi anipe.
Kanichefua huyo mdada jamani, roho gani hiyo ya kikatili??
yaaani uwezi amini dah nilikua na mood hapa nzuri imekata
Unajua hakuna jambo baya sana kama mtoto asiyeweza kujitetea
 
Mkeo ni mjinga sana ashawaza siku na yeye akitangulia mbele za haki watoto wake nao wateswe hivyo.

Kuna WANAWAKE ni wapumbavu sana kwenye hii Dunia, akili zao huwa zina funza.
 
Ukimuacha mkewe, ukaleta mke mwingine changamoto kwa watoto wako pia.
 
Aisee kuna kumtia mtoto nidhamu
Ila sio kumrushia tofali hata mtu mzima mwenzio
Jamani huyo dada ana majini
 
Ongea na mkeo kama baba....
Kama anataka kwenda kwao aende na huyo shemeji na ila wanao watabaki hapo.
Na akibaki mwambie tu atakochamfanyia mtoto utadeal nae. Lina roho mbaya sana na atakua mama wa nyumbani tu huyo

Huyo mtoto usimpeleke boarding wala usimpeleke kwa ndugu yeyote.

Chukua namba ya mwalimu wa darasa hakikisha kila siku kijana amefika shule na kuondoka kwa wakati piga simu daily

Huo umri mtafutie tu na tuition ili akate masaa ya kukaa nyumbani

Kata huduma za huyo shemeji kamaliza form 4 inatosha

Peleleza kila wiki na kila akimfanyia ubaya mconfront upfront mkiwa chumbani na ikiwezekana ita kikao na familia yake wajue tabia za mtoto wao ukiwa na ushahidi

Dogo akifika secondary mpeleke boarding ila usiruhusu ateseke kijinga jinga your wife must know unamuangalia kwa ukaribu na matendo yake yatamgharimu instantly
 
Nimeipenda sana hii,ubarikiwe sana kwa moyo huo
Nimejiskia vibaya sana
Mama yangu aliachwa akiwa mchanga
Aliteseka sanaaaa
Yaani aiseee
Story for another day ila kama ulilelewa na mama hata kama kwa uji wa chumvi dont take that for granted
KAMA MAMA YAKO HAYUPO NA UKIWA MDOGO hii dunia ina manyang’au
 
Yani ningekua mimi ndio wewe nilivotoka tu Hosp hiyo mke angechezea makofi alafu namrudisha kwao
Kweli mwenzetu kazingua.

Nje ya mada....hivi kumrudisha mke kwao ni adhabu ama zawadi? Hili zali natamani linikute halinikuti sijui kwanini.

Wake zenu huwa wanaogopa kurudishwa kwao? Duh sijawahi pata feeling ya hivyo.
 
Mrudishe kwao pia uwe makini na huyo kijana wakakaake unayesomesha shituka

Kama ,kweli chukua hatua
 
Dah yaani
Aisee nina mtoto wa mume wangu anakujaga likizo umr wa miaka 12
Aiseee sionagi baya lake japo wanaokujaga ndo wanasema mtoto mkubwa hivi hajui hata kutoa chombo
Akimaliza kula,naonaga sawa tu maana hata wanangu naenda nao hivyo hivyo
Nasema kama wa kiume hawajui hizo kazi why mdogo hivi kisa wa kike awe anafanya hizo activities
Mi napenda watoto wa kike sana
Wa ndugu zangu natamani kuja kumchukua ni ishi nae kabisa

Aisee mtu anae enda physical kwa mtoto wa miaka nane si ni la pili??
Kwa nini anamkokota namna hiyo??

yaaani uwezi amini dah nilikua na mood hapa nzuri imekata
Unajua hakuna jambo baya sana kama mtoto asiyeweza kujitetea
Huyo mtoto utasema anakula gunia kwa siku? Na hapo roho mbaya ipo kwenye msosi hana lolote.!!
Mi napenda watoto na naishi na mtoto mpk wa ex wangu na sijali namtunza km wangu.!!

Sasa ingekuwa huyo mtoto ndio wa mume wake si angemuua kabisaa!!
Huyo mwanamke gaidi mtoto mwenyewe yatima anahitaji upendo wa hali ya juu.
 
Kweli mwenzetu kazingua.

Nje ya mada....hivi kumrudisha mke kwao ni adhabu ama zawadi? Hili zali natamani linikute halinikuti sijui kwanini.

Wake zenu huwa wanaogopa kurudishwa kwao? Duh sijawahi pata feeling ya hivyo.
kuna familia nyingine ukirudi nyumbani kihasarahasara utalala siku moja tu kesho yake unaambiwa rudi kwa mumeo
 
Kweli mwenzetu kazingua.

Nje ya mada....hivi kumrudisha mke kwao ni adhabu ama zawadi? Hili zali natamani linikute halinikuti sijui kwanini.

Wake zenu huwa wanaogopa kurudishwa kwao? Duh sijawahi pata feeling ya hivyo.
Wewe utakuwa umemchoka shemeji mpk unatamani likizo ya kurudi 😹😹😹
 
Back
Top Bottom