Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

kweli umeshikwa........muombe 07......halafu mwambie nikisikia kwa mamako au mtaani....uhame mwenyewe....
 
Mkuu nimambo yakawaida tu alafu mama yake anayashupalia kwa Shari so kheri yaan nikama mtu anaekamia Jambo flani yaan nikama ataka ampeleke mwanae atumie Mali nazochuma kujinufaisha
 

mbona kama kweli umeshikwa hivi
 
Mbona hata uzi wako tu unaonyesha ni kweli umeshikwa?
Mkuu kivip wakat vitu anavyovisema kwa mama yake nakunitangazia hata Sina labda tatizo langu nikuijali Sana familia yangu yaaan yeye mke wangu na watoto maana namhudumia kwakila alitakalo lililondani ya uwezo wangu tu
 
Rekebisha tatzo lako la nguvu za kiume kwanza
 
Mkuu nikwamba mama yake ananisema kwaubaya Kama wanikomeshe ananisema kwakuona Kama yaan kuwaumiza wazazi wangu yaani hayo maneno
 
Mkuu mke Wala hanisaliti kabisa
 
Atakuwa kakushika kweli maana angekuwa hajakushika,usingekuwa haujajua Cha kufanya mpaka Sasa maana Mambo mengine ni madogomadogo ambayo hayahitaji elimu hata ya chekechea kuyatatua.
Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizo
 
Mkuu you sahihi kabisaaa umeongea vyema Sana
 
Mkuu chakufanya hapo ndo nawaza no nin maana mambo yakijinga anayofanya mama yake anamuunga mkono ndio anaeshadadia mambo yakipuuzi ya mwanae Wala haoni Kama tatizo
Sasa wewe unajuwa kuwa mkeo anafanya ujinga bado unakosa Cha kufanya kweli?!ndo maana anajinasibu kakushika nami ninamuunga mkono maana Nina wasiwasi na uanamme wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…