Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mbinu ya kijeshi hii..!! Ataomba poo mwenyewe..!!Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Umeona wanawadharau,tofautisha dharau na kuchepuka au kuachana.Mke wa mengi, billgate,nk waume zao hawana pesa? Huu ni msemo wa kuwafariji masikini.
Uwe na pesa usiwe na pesa mke akiamua kaamua
Tabia ya mtu ngozi hata mwanzo asingewezaHilo tatizo ulitakiwa ukishughulikiwa mapema baada ya kuoana na siyo sasa,huyo samaki kashakauka kwa sasa ukimkunja atavunjika
Vyovyote iwavyo akaoge mtoni,ziwani,bwawani au baharini.Na kama yupo Bunda atembee hadi Nyamuswa,Manyamanyama,Pida au hata Kyawazaru atafute bwawa ajiogeshe.Mwanaume gani anaanzisha uzi wa kijiliza kwamba hajawekewa maji ya kuoga?Kwahiyo kama anakaa keko akaoge mto Msimbazi? AU kama anakaa Kongowe ya Mbagala akaoge mto Mzinga?
Msaidiane majukumu, yeye amefanya kazi kubwa kufua nepi za watoto na hata nguo zingine za watoto, naamini humsaidii kupika, kuosha vyombo na kufanya usafi wa nyumba, ukimsaidia shughuli zingine unaimarisha afya yako na yake piaabari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kijitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe
nakazia hapo kwenye safiri bila taarifa "rudi ukiwa umeshibaTafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Tena mara 3 ajipige kifuaJipigepige kifua ujisemee kuwa wewe ni mpumbavu
Kumkaza vizur ndo kunakuaje 🤔Je unamkaza vizuri?..je unahudumia familia inavyotakiwa?
Wenyeji wa Dodoma wanakwambia ukikutana na nyoka na mrangi kwa pamoja porini, bac maamuzi sahihi unayotakiwa kufanya ni kuuwa kwanza mrangi then ndo umalizane na nyokaHabari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Kizungu waachie wazungu broKwani umesikia mke ni drycleaned kuwa akufulie ngue au make no chief kuwa akupikie... Wanaume tubadilike mitazamo na kusoma alama za nyakati... Sio mbaya mwanamke kukufanyia utakacho ila vingine kama unaweza Fanya mwenyewe tena kwa upendo mkubwa
Hata kama wewe ni Mkristu nakushauri oa mke wa pili na huyo mke wa pili awe ni kabila tofauti na utafute anayekufulia na kukupenda ili mke wa kwanza ayaone makosa yakeHabari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.