Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Huyo mwanamke amekuzidi
1.umri
2. Elimu
3.kipato
4. Nyumba yake
?!!
Kama hamna kimoja katika ya hivyo
Huna mke hapo [emoji28]
 
Anakujibu hafui? Mimi nitampiga ni kanga yenye kipisi cha nondo katikati.
 

Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa.
 
Chai ya moto.

Halafu si tulikubaliana kila mtu aowe kabila lake sasa ww kiherehere chako kuowa dada zetu ni nini?
 
Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Asante kwa ushaur wako mkuu
Mrangi??

Anyway, huyo mpandishe cheo awe mke mkubwa tena mtafutie mrangi mwenzake walogane vizuri.
🤣🤣🤣
 

Itakua umeolewa wewe!
 
Duh aise sijui wamekushaurije huko juu lakini kazi unayo...
Em fanya umrudishe kwanza kwao halafu unipe taarifa nianze kukushauri maana inaonekana wewe mpole af mkeo nunda
 
Kwahiyo nitafute mwingine, Mkuu nimefika mwisho
 
Duh aise sijui wamekushaurije huko juu lakini kazi unayo...
Em fanya umrudishe kwanza kwao halafu unipe taarifa nianze kukushauri maana inaonekana wewe mpole af mkeo nunda
Nitalifanyia kazi mkuu shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…