Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Ni kufua tu au Kuna lingine??? Je mwanzoni alikuwa hivyo?? Za kwake je anafua?
 
Ukimwambia afuee halafu akakukatalia huwa unachukua hatua gani??
 
Ni kufua tu au Kuna lingine??? Je mwanzoni alikuwa hivyo?? Za kwake je anafua?
Sio nguo tu kuna mengine na kuhusu kufua nguo zake yeye anafua ila zangu hafui na anatamka mbele ya watoto kuwa sikufulii
 
Makosa uliyafanya tokea mwanzoni unaanza kuishi nae,miaka 8 unakuja kuumia Leo,hapo kumrudisha kwenye mkondo unaotaka itakugharimu sna ,na nikazi sna hata kama inawezekana
 
Kuoa mwanamke mwengine nikujitafutia shida na kujiongezea majukumu. Jaribu kukaa na mke wako chini mwambie hupendezwi nahiyo tabia ikkshindikana mpeleke kwa wazee
 
nimetamani ufungue uzi kwa comment yako
 
Wanaume wanawahi kutangulia kufa mapema kwa sababu ya kuzibeba tabia mbaya za wanawake zao waliokosa malezi bora.
 
Yaani kutokufuliwa nguo na kuwekewa maji bafuni ndo uondoke uhame mji wako uache na familia yako?
Labda kuna sababu nyingine hujaziweka wazi.
Wanaume acheni uvivu.
 
Comment bora ya mwaka hii hongera mkuu dmkali
 
Mwanamke jeuri mtafutie mwenzie!
 
Yaani kutokufuliwa nguo na kuwekewa maji bafuni ndo uondoke uhame mji wako uache na familia yako?
Labda kuna sababu nyingine hujaziweka wazi.
hiyo ni Moja, huenda kuna gumu zaidi!!!
 
Alioa mwanamke mwenye laana,hata kuna familia watoto wote wanateseka na maisha wengine ni walevi mbwa, wengine matapeli wamemuibia hadi mama yao pesa za mafao,plus malaana kibao,mama yao alimnyanyasa Sana baba yake hata baba yao alipokufa awajarudi tena walizika tu na kuondoka. Kuna familia zinalaani kabla ya kuoa muhimu kuchunguza. Zamani watu kuoa wake wengi hawakuwa wajinga ilikuwa huwezi kosa familia zote wakawa na tabia au maradhi ya kufanana.
 
Wanaume inatakiwa mtambue KILA kabila linatabia zake na namna ya kuishi nao. Kumbuka maisha ya wengi yapo connected na mizimu na mizimu ndio useti mfanano wa tabia au hulka fulani labda tu mtu husika aamue kuishi nje ya tabia hizo kupitia mifumo mingine iliyomshape mfano elimu na dini. Huwezi ishi na mwanamke wa kizaramo kwa tabia za kikuria, huwezi ishi na mke wa kikuria kwa tabia za kizaramo ni lazima atakushika makalio, kama huna tabia za kijeshi au kibabe ngumi mkononi unapita kushoto oa tanga, pwani, nk. KILA kabila lina namna yake ya kuishi nao. Huwezi weka injini ya meli kwenye Fuso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…