UZI ULITAKIWA UISHIE HAPO KWENYE UMEOA (MRANGI)
UJue vijana tunakosea kujua tabia za makabila,
Huwezi kuishi na mke wa kirangi kama unavyoishi na mke mnyamwezi!
Huwezi ishi na mke wa kichaga kama unavyoishi na mke mzaramo!
Kila kabila lina mbinu zake, Tatizo kubwa lipo kwa waoaji wanaume sisi ndo hatutambui!
Kabla hujaoa kama huwezi kucheza na biti za hilo kabila kwanini unaoa?
Walangi ni wababe na ni watamu na ubabe wao , wachaga ni jeuri lakini ujeuli wao unafaida, wazaramo wana mauno wanafaida na mauno yao!
Ukitaka sifa za huku ulete kule utachemka tu!
Oweni wake wa matamanio yenu bhana mnatusumbua kutoa ushauri
Ajabu huyo unaesema hapeleki maji akiolewa na mwingine maji anatenga vizuri!
Siku moja jamaa alimuacha mwanamke kisa hakati mauno, lakini alikoenda kuolewa jamaa yake alikatiwa mauno balaa!
Hivyo tatizo siyo mwanamke ni namna ya kumuanzisha, unavyoanza naye ndivyo mtakavyomaliza