Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mimi mume wangu ananiitaga baby mbele ya yeyote yule ,awe ndugu yake au yangu
 
Kweli mjomba hayo makorokoro mi mwenyewe siyakubali wala nini,niite nyumbani tukiwa wawili inatosha as long as jamii na ndugu wanajua sisi ni mke na mume ,naonaga hakunaga haja ya huo upuuzi mbele ya watu. Ni muhimu kujua mazingira na kuACT accordingly ,sina hakika kama wanaume wengi HUWA wanafurahia huo upuuzi,sina hakika!!
 
Mzee hio honey unayoitwa ndio imefanya mfike miaka 11 ya hio ndoa...

Achana vitu vidogo hvo(japo vinakera,, vipo ki show off sana) .....focus kutafuta mipunga... Otherwise atabadili jina sio mda...

Afu umeoa ujue... Kaa kwa kutulia....
 
Huna wa kukuita honey wee, tafuta bhana
Acha makasiriko lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mapenzi gan hayo? Lol
 
Kwani mapezi ni kuonyesha watu, bora mahaba hufanyie nyumbani kwenu.
Eeeeh sasa ila mapenzi ni kuogopa watu? Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Naomba nicheke kwanza, halafu nitaendelea ku comment baadae🤣 🤣🤣🤣
 
Yaani jina nililozoea kumuita mume wangu niwe na mipaka kua nilitumie wakati fulani tu. Itakua ngumu sana aisee
 
Daa watu hatuna shukrani.Ndiyo yaleyale yule Jf member aliyelalamika kwamba mke wake amemseve "Mbwa"
 
Kuna mwenzio kwenye simu kaseviwa MBWA wew una itwa Asali wa moyo una maindi ngoja aanze kukuita kikaragosi ndo utafurahi na nafsi yako
 
Na hapo ndio mtihani. Yaani niwe na kibarua cha kutafakari kwanza niko wapi ili nijue mume wangu nimuiteje?!!
Yeye sio mtu mzima lazima ajue mazingira tuliopo, niko hospitalia tunauguza baba mzazi unaanza kuniita kwa saut my sweetheart [emoji813] wodi yote inasikia loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…