- Thread starter
- #181
Good kila jambo na jina lina wakati wakekuna muda wa kukaa na wanawake
na kuna muda wa kukaa na honeeeyyyy!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good kila jambo na jina lina wakati wakekuna muda wa kukaa na wanawake
na kuna muda wa kukaa na honeeeyyyy!!!!
Tumepigwa je mkuu??WANA JF HAPA TUMEPIGWA AISEE
Mimi mume wangu ananiitaga baby mbele ya yeyote yule ,awe ndugu yake au yanguNdugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Kushangazwa na hii hulka yakoTumepigwa je mkuu??
Kweli mjomba hayo makorokoro mi mwenyewe siyakubali wala nini,niite nyumbani tukiwa wawili inatosha as long as jamii na ndugu wanajua sisi ni mke na mume ,naonaga hakunaga haja ya huo upuuzi mbele ya watu. Ni muhimu kujua mazingira na kuACT accordingly ,sina hakika kama wanaume wengi HUWA wanafurahia huo upuuzi,sina hakika!!Hata mimi hizo mambo sifagilii kabisa. We uliwahi mskia mama yako anamuita ivo baba yako hadharani? Au ndio hawako civilized.
Sasa fanya hivi mzee rekebisha ratiba ukienda na mkeo kijijini kuwa bize na mambo ya msingi kama, kuchimba kaburi, tembelea majirani mnaofahamiana, kukaa na wazee, kukaaa na classmates wako, kula mvinyo na wajuba ivyo yani, kurudi village kwangu huwa ni adventure.
Sasa wewe unakaa sijui jikoni mara sitting room siku nzima mke kila akipita anakuona, hapo utazingua.
Hapo mkeo kuna strategy anaipanga na inatuma message flani kwa jamii, na unajua watu wa bush uwezo wao wa kufikiri uko vipi kuhusiana na hayo maswala.
When you are in Rome, you do as the Romans do.
Huna wa kukuita honey wee, tafuta bhanaUnajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!
Muda wote badala kukaa na wanawake wenzio muomboleze wewe unajibanza tu kwa baby wako
Eti "baby umepata nyama au nikuongeze"
Mazafanta wanaume haya mambwembwe yakizidi hua tunaona kero, hebu kueni na staha acheni ulimbukeni wa kugelezea mapenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mapenzi gan hayo? LolMimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
Kwani mapezi ni kuonyesha watu, bora mahaba hufanyie nyumbani kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mapenzi gan hayo? Lol
Mi alikuaga ananiita 'baby'.....nikafanya ujinga kama wako siku hizi ananiita 'babaake'
Eeeeh sasa ila mapenzi ni kuogopa watu? Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mapezi ni kuonyesha watu, bora mahaba hufanyie nyumbani kwenu.
Naomba nicheke kwanza, halafu nitaendelea ku comment baadae🤣 🤣🤣🤣Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Yaani jina nililozoea kumuita mume wangu niwe na mipaka kua nilitumie wakati fulani tu. Itakua ngumu sana aiseeSio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia
Daa watu hatuna shukrani.Ndiyo yaleyale yule Jf member aliyelalamika kwamba mke wake amemseve "Mbwa"Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Nashindwa kuelewa kabisa anafelije kwenye hili!!Kuanzia Sasa hivi Mke wako akikwita Honey,wwe mwite asali ya moyo wangu,huba wangu mie!!
Na hapo ndio mtihani. Yaani niwe na kibarua cha kutafakari kwanza niko wapi ili nijue mume wangu nimuiteje?!!Niite jina lolote kulingana na mazingira tuliopo,
Yeye sio mtu mzima lazima ajue mazingira tuliopo, niko hospitalia tunauguza baba mzazi unaanza kuniita kwa saut my sweetheart [emoji813] wodi yote inasikia lohNa hapo ndio mtihani. Yaani niwe na kibarua cha kutafakari kwanza niko wapi ili nijue mume wangu nimuiteje?!!
Ndiyo maana wanagongewa wake zao kwa vitu vidogo vidogo sana, ambavyo wakiaamua wanaweza kuvi master!!Nashindwa kuelewa kabisa anafelije kwenye hili!!