Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi



Akikuuita Honey na wewe muite Milk.
 
Kuanzia Sasa hivi Mke wako akikwita Honey,wwe mwite asali ya moyo wangu,huba wangu mie!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapa watu mnachomaanisha Angemjibu Shangazi yake hayo ni mambo ya kawaida mbona na isitoshe huyu ni Mke wangu so msinipangie aniite jina gani...!!!


Kwenye kikao cha ukoo pia ilibdi aendeele na msimamo huo huo mashangazi wana gubu sana
 
Mpuuzi mmoja huyo achana nae
 
Ahsante mkuu, kwakweli mbele ya watu unainekana kama mtu ambaye kasha tekwa na unatawaliwa na mke,
 
Wanaume naomba jibu, je mungependa tuwaite jina gani la kimahaba, au linalokutofautisha na wanaume wengine ukiachana baba fulani?
Niite jina lolote kulingana na mazingira tuliopo, kwanini unaniita sweetheart mbele ya ndgu zangu msibani, sio kila mtu anakutakia jema utaumiza wengi, tukiwa nyumbani kaniite lolote unalo taka, Sie wa Africa tuna utamaduni hatuonyeshe mahabah hadharani kabisa, mimi binafsi lina ni kera sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…