Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja...... sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.

Akikuuita Honey na wewe muite Milk.
 
Kuanzia Sasa hivi Mke wako akikwita Honey,wwe mwite asali ya moyo wangu,huba wangu mie!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapa watu mnachomaanisha Angemjibu Shangazi yake hayo ni mambo ya kawaida mbona na isitoshe huyu ni Mke wangu so msinipangie aniite jina gani...!!!

Kwenye kikao cha ukoo pia ilibdi aendeele na msimamo huo huo mashangazi wana gubu sana
 
Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata kuitana majina.
Sasa sijui kwako shida inatoka wapi?
Mpuuzi mmoja huyo achana nae
 
Mzee hawa wahuni wasikujaze upepo[emoji1787] hayo majina ukiitwa mbele ya kadamnasi huwa inasound kama UNAIBIWA hivi[emoji1787][emoji1787],yaani ni kama anakupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa[emoji1787][emoji1787]
anakwita hivyo kwani hajulikani kama ni mkeo?
Pole sana mzee,achana na hawa magentromen wa JF.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu, kwakweli mbele ya watu unainekana kama mtu ambaye kasha tekwa na unatawaliwa na mke,
 
Wanaume naomba jibu, je mungependa tuwaite jina gani la kimahaba, au linalokutofautisha na wanaume wengine ukiachana baba fulani?
Niite jina lolote kulingana na mazingira tuliopo, kwanini unaniita sweetheart mbele ya ndgu zangu msibani, sio kila mtu anakutakia jema utaumiza wengi, tukiwa nyumbani kaniite lolote unalo taka, Sie wa Africa tuna utamaduni hatuonyeshe mahabah hadharani kabisa, mimi binafsi lina ni kera sanaaa
 
Back
Top Bottom