Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
ahahah,,,,, Nipo sawa mkuu, kila mtu anapambana kuitafuta furaha yake kwa bidii.ππππππππππ we jamaa hii Id yako bana sikuisoma mkuu upo sawa kweli!πππππππ π π π
Mke wako atavyokuita sio swala mradi tu jina lisiwe la kejeli au tusi! Kuna manzi ni best wa sista angu anamuita mumewe βWolfβ ni kitambo toka wameoana na mpaka sasa wana watoto 3 more than 10 years ago since marriage.Mkuu hiyo ni nzuri kabisa ila sasa citaki kumvuruga mental flow yake. Kuona kwamba alikua ananikosea siku zote tukia village
ππππ sio kwa zama hizi mkuu, kwani unasababu gani ya kuwaficha watu mambo mazuri ama majina mazuri ya kimahaba kati yako na mpenzi mama watoto wako?Niite jina lolote kulingana na mazingira tuliopo, kwanini unaniita sweetheart mbele ya ndgu zangu msibani, sio kila mtu anakutakia jema utaumiza wengi, tukiwa nyumbani kaniite lolote unalo taka, Sie wa Africa tuna utamaduni hatuonyeshe mahabah hadharani kabisa, mimi binafsi lina ni kera sanaaa
Ha ha ha haMi alikuaga ananiita 'baby'.....nikafanya ujinga kama wako siku hizi ananiita 'babaake'
Fresh tu, kama jamaa haoni shida kwanini mimi wa huku nje nikwazike?Mke wako atavyokuita sio swala mradi tu jina lisiwe la kejeli au tusi! Kuna manzi ni best wa sista angu anamuita mumewe βWolfβ ni kitambo toka wameoana na mpaka sasa wana watoto 3 more than 10 years ago since marriage.
βΊοΈβΊοΈβΊοΈ chizi kabisa wwMwambie mkeo aniite Mimi honey
Dunia na waadunia wananibadirisha. Niokoe plsSiku hizi una maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule kijana mpole ninayemjua ameenda wapi?
Labda anaogopa wazazi wake wataona wamefananishwa na nyukiMtu kaitwa honey, kaja kuanzisha uzi anataka ashauriwe. Eti na yeye ameoa!
Hii ndy ina swagga usibadilishe[emoji28]ahahah,,,,, Nipo sawa mkuu, kila mtu anapambana kuitafuta furaha yake kwa bidii.
Ila Nategemea kuibadilisha hii ID Soon, kutokana na ushauri wa mwana JF mwenzangu
kwahiyo bro, kama si yeye wakukuita hivyo, unataka nani awe free kukuita honey?Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Mkuu ni kweli ila watu wengi wana gubu watamchukia hata pale utakapo hitaji msaada wao hawatampa kwasbb ya chuki zao binafsi, ndg zetu wengi hapendi wapandanaoππππ sio kwa zama hizi mkuu, kwani unasababu gani ya kuwaficha watu mambo mazuri ama majina mazuri ya kimahaba kati yako na mpenzi mama watoto wako?
Wenye kuumia waache waumie, ila usimuumize mkeo kwa kumuwekea mipaka ya kipuuzi kwa kuwahofia watu.
Duh,,,,πππ kazi kwelikweli.Hii ndy ina swagga usibadilishe[emoji28]
Wewe mkuu acha hizo, wale wazee hawajui maana ya honey.....Labda analogous wazazi wake wataona wamefananishwa na nyuki
πππ kivipi tena bosi?Naimagine vile unavonambia soo sikupatii picha!!
ofkozi yes!Wewe mkuu acha hizo, wale wazee hawajui maana ya honey.....