Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaa hii Id yako bana sikuisoma mkuu upo sawa kweli!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
ahahah,,,,, Nipo sawa mkuu, kila mtu anapambana kuitafuta furaha yake kwa bidii.
Ila Nategemea kuibadilisha hii ID Soon, kutokana na ushauri wa mwana JF mwenzangu
 
Mkuu hiyo ni nzuri kabisa ila sasa citaki kumvuruga mental flow yake. Kuona kwamba alikua ananikosea siku zote tukia village
Mke wako atavyokuita sio swala mradi tu jina lisiwe la kejeli au tusi! Kuna manzi ni best wa sista angu anamuita mumewe β€œWolf” ni kitambo toka wameoana na mpaka sasa wana watoto 3 more than 10 years ago since marriage.
 
Niite jina lolote kulingana na mazingira tuliopo, kwanini unaniita sweetheart mbele ya ndgu zangu msibani, sio kila mtu anakutakia jema utaumiza wengi, tukiwa nyumbani kaniite lolote unalo taka, Sie wa Africa tuna utamaduni hatuonyeshe mahabah hadharani kabisa, mimi binafsi lina ni kera sanaaa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sio kwa zama hizi mkuu, kwani unasababu gani ya kuwaficha watu mambo mazuri ama majina mazuri ya kimahaba kati yako na mpenzi mama watoto wako?
Wenye kuumia waache waumie, ila usimuumize mkeo kwa kumuwekea mipaka ya kipuuzi kwa kuwahofia watu.
 
Ila mimi sion shida kuitana honey lakini mbele za watu naona haifai kivile.

Jirani yangu mkewe kabla hawajapata mtoto alikuwa akimuita honey any time, anyplace, yule mwanaume hakuwa akiitikia vizuri hasa sisi tukiwepo. Kama vile anaona aibu.

Sasa hivi wana mtoto anamuita baba B.

Ninavyoona mimi, mme na mke mkiwa wenyewe au sehemu ambayo mazingira yanaruhusu itaneni majina yote mmpendayo.

Ushauri mwingine.wapenzi huwa wana majina yao tofauti na hayo ya kimahaba.hayo majina huwa wanayajua wenyewe hata wakiitana hakuna anaejua maana yake, hayo ndo yanafaa mbele za watu,ila mkiwa wenywe ita majina yote.

Eg rafiki yangu alikuwa akimuita mpenzi wake P-air nikamuumiza maana yake ni nini akasema Precision air, nilicheka sana, akasema walikutana kwenye ndegeπŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa kama mulikutana jamii forum huon ni fumbo kumuta jf mbele za watu na wasijuwe chochote.?
 
Mke wako atavyokuita sio swala mradi tu jina lisiwe la kejeli au tusi! Kuna manzi ni best wa sista angu anamuita mumewe β€œWolf” ni kitambo toka wameoana na mpaka sasa wana watoto 3 more than 10 years ago since marriage.
Fresh tu, kama jamaa haoni shida kwanini mimi wa huku nje nikwazike?
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......

Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......

Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
kwahiyo bro, kama si yeye wakukuita hivyo, unataka nani awe free kukuita honey?
sema tu majina hayo kwa lugha yetu ya kiswahili yanakosa mvuto, huyo mama alipaswa akoleze kabisa kwa kukuita " asali, la azizi, sukari yangu,,,,,,,nk" ili kama una kamchepuko kako huko bush kaumie roho.
na huyo aunt, tatizo lake lugha tu, wala asingetia neno.
Kama unampenda mwambie aongeze majina mazuri ya kukuita mbele za watu 😁😁😁 tea mwambie AONGEZE SAUTI.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sio kwa zama hizi mkuu, kwani unasababu gani ya kuwaficha watu mambo mazuri ama majina mazuri ya kimahaba kati yako na mpenzi mama watoto wako?
Wenye kuumia waache waumie, ila usimuumize mkeo kwa kumuwekea mipaka ya kipuuzi kwa kuwahofia watu.
Mkuu ni kweli ila watu wengi wana gubu watamchukia hata pale utakapo hitaji msaada wao hawatampa kwasbb ya chuki zao binafsi, ndg zetu wengi hapendi wapandanao
 
Back
Top Bottom