Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Wewe uko smart and experienced guy, umenielewa ipasavyo, isipo kua hata some time ana acha kazi zake muhimu ananifuata nilipo kukaa ili kua karibu nami atakuambia kazi ntazifanya badaye duh.
Me naelewa sana hii kitu nina mwanangu anapitia the same scenario na mkewe. Yaani mwanamke hampi jamaa space ya kupumua....
 
Hapana mkuu nimeishi na matumaini kwamba atakuja kubadilika kwa but not naona hiyo tabia imekua sugu habadiliki na suweji kuipeleka kwa wazazi isipo kua hapa jf tu ndokuna variety ya watu ndo wanaweza kunielewa, wengi watz hawajui umuhimu wakua na mda wa privacy
Ni kawaida ya mademu vibonge hio 😂
 
Umeona eh!! Mke hatamjali tena jamaa anamuona kama mdudu tu anamkera. Mara tu kashusha uzi humu mke wangu hanijali tena naombeni ushauri.
😂😂😂😂😂

Kuna vijana hawana kazi so kutuma sms za kumnyegesha mke wa mtu kwao sio ishu! Wakati jamaa anajifanya anakerekwa kupigiwa simu demu atahamishia majeshi kwa baharia mmoja then kifuatacho zitaanza ratiba za kupangiwa uchi 😂😂😂😂 mara nimechoka, mara ntakupa asubuhi!
 
Me naelewa sana hii kitu nina mwanangu anapitia the same scenario na mkewe. Yaani mwanamke hampi jamaa space ya kupumua....
Umeelewa vzri wengi wanafikiri nimahabah, yani anaku occupy paka unachoka, kuna siku niko kwenye foreni ka beep kama mara 10 nikampigie nikamuuliza kulikoni, hana lolote nilisahau kufunga kioo na simu yangu ikachukulia na kibaka, narudi nyumbani kavimba eti nimemkatia simu bila kumuaga arafu akianza kuongea hachoki hata 2hrs paka watu wana kushangaa
 
Umeona eh!! Mke hatamjali tena jamaa anamuona kama mdudu tu anamkera. Mara tu kashusha uzi humu mke wangu hanijali tena naombeni ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo moment huwa hatujali kweli..

Hata Akueleze anakupeleka wapi au kukupa nini.. Unaona siyo Issue tena.. Wakati kipindi unampenda hata akikupa Wallet ya elfu kumi ni utaipenda Balaa.. Nyieee[emoji2]
 
Mkuu jamii zetu zinatizama hasi tu chanya hamna kwanini? We end up failing life kwasabb ya maneno ya watu ndo yasababisha tushindwe maisha, always think positive
Hujaona mahali nimesifia tena mara 2 kuwa huyo ni mke mzuri? Au unataka mwenye gubu
 
Ameshakutoka moyoni hata ajipake dhahabu mwili mzima si Mali kitu tena ni kama mzoga tu 😂😂

Na hiyo moment huwa hatujali kweli..

Hata Akueleze anakupeleka wapi au kukupa nini.. Unaona siyo Issue tena.. Wakati kipindi unampenda hata akikupa Wallet ya elfu kumi ni utaipenda Balaa.. Nyieee[emoji2]
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Nigaie Mimi Hugo natafuta was namna hio
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli

NDOA yataka moyo mkuu

Vumilia tu mkuu
 
Yenye majibu ya mkato mkato! Sometimes hatujui thamani ya kitu mpaka tukipoteze yani
Nayeye anajua thamani yangu na umuhimu wangu jinsi ninavo mfokea angekua amasha niacha ila paka leo mwaka wa 12, ila anani kera kwa nifanya kama property yake mie ni binaadamu nahitaji uhuru wangu hata kama unanipenda
 
Sawa mkuu ndio mapenzi lkn
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom