Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Mi nikajua chubby ndio wanene mkuSize ya kati maana we ni chubby [emoji39] sio chikonda!
Chubby girls ndo wanaongoza kwa nyodo mjini maana unakuta mtoto ana mguu wa kwenda, tumbo hana, chuchu kifuu, anakashepu na katako flani kakichokozi! Ukimuangalia mtoto amekatika vizuri yani kaenda mvinje hivi bana wee usiombee akivaa zile skin jeans zenu na ka top blouse amazing hivi!
Unafikiri kwanini mnatupangaga foleni hata wahuni 6 kwenye simu? Yani kila mmoja anakula mzinga kwa wakati wake ilimradi tu apate fursa ya kuchopeka mpini panapo unyevu yani acha tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anamaanisha nini BAK?
Kunisaidia nini tena kwa lipi mbona una negativity sentiments.
Yes sir! I am 76 to be exact!Fortunately ur age is 40+
Aah wapi chubby girl yuko na round shape wanaita! Sio bonge yani!Hahaha! Mi nikajua chubby ndio wanene mku
Sawa ila naona kama ni nanga kasha shusha kwangu, yule habaduki na mimi pia na mpenda ila incase akitoka kwa kupata mgine wa kuweka mateka, kamwe simbembelezi kurudi, nta furahia tu maisha angu ya upeke after role am turning 40yrs.......na nina basics za maisha.Rafiki angu nikimaanisha akipata mtu wa kumpa attention ambayo ww unaona kero and doesn’t matter ni aina gan ya mtu atampata basi rafiki angu ataacha hata kukusalimia jion ukirudi nyumban.
Afu umesema ni mkeo... si mnakatazaga wake kua na marafiki either wakike au wakiume asa wewe ndo rafiki ake... her partner in crime[emoji81][emoji81][emoji81][emoji847] why unamchoka sasa mzoee tu rafiki angu
Tabia kama za mkeo [emoji18]Awe je?
Mmmh hawa mkuu hawavai size 10 hawa, labda kidogo huyo wajuu! Ila wazuriAah wapi chubby girl yuko na round shape wanaita! Sio bonge yani!
View attachment 1975222View attachment 1975223View attachment 1975224
Sampuli hizo
Ndio shapes za chubbies hao! Mademu wengi wa kibongo wenye maumbo ya hivyo ndio wanatikisa sokoni😂😂😂!Mmmh hawa mkuu hawavai size 10 hawa, labda kidogo huyo wajuu! Ila wazuri
Wewe kama yote yameshindikana omba transfer ya kikazi kafanyie mkoa mwengine hapo alipo muache na watoto mtaongea kwenye simu tu!Nadhani nimefanya kila jambo kumtengea mda tukae nae ila haridhiki, kuna kipindi nimeanza kuangalia tamithiria za kihindi kwenye Azam TV hata sizijui wala hazinivutii ila nakaa sebule masaa mawili anilalie wakati anatizama na mimi nafanya unafiki eti na enjoy wakati hata sina interest nazo kumbuka huyu mke kanilalia mapajani karibia masaa mawili ni mzito ila navumilia.....what else should I do ni mfurahishe?
KWELI VIBONGE WANA MAPENZI YA DHATINilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
Kwakweli wanapendeza, mapambo ya duniaNdio shapes za chubbies hao! Mademu wengi wa kibongo wenye maumbo ya hivyo ndio wanatikisa sokoni[emoji23][emoji23][emoji23]!
Samahani mkuu,mm ni mdogo sana kwakoHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Vibonge wengi wana roho nzuri na ndio maana wananenepa! Mungu anawabariki na afya tu sababu wana roho nzuri sana ila wale vimbau mbau wengi wanafiki na roho ya kwanini ndio maana hawanenepi hata wakinywa mafuta ya kula kila siku litre 1!Mkuu husigeneralise shape ya mtu haiwezi ku determine tabia ya mtu.
Wewe hauko na umbile kama hilo?Kwakweli wanapendeza, mapambo ya dunia
Amfundishe cherehaniMtafutie sehemu ajishughulishe huo muda wa upuuzi hataupata