Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Imagine.. yaan haaana mapenzi kabisa na mkewe. Hatakubali hili. Yaan anamwona mkewe kama kero. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Kuna siku atamtafutaaa. Shouts out to us chubby girls[emoji91][emoji91][emoji91][emoji4] we are lovely

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkewe ni kimbofa sio chubby!😂😂😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ukimpenda mtu awe anakufanyia hivo raha sana!!! Kweli mapenzi n matamuu sana!! Tunatofautiana !! Mi ndo napenda aisee namuazima uyo mkeo hata wiki[emoji23]
Raha ya mapenzi patner wako akugande kama hivyo yani 😂 muwe mnaenda wote places! Mapenzi ya hivyo ni matamu sana ila tatizo hela tu ndio zinatutenganisha na ufilipino😂
 
We jamaa ukipendwa hutaki kupendeka, embu jitaidi kumpa ushirikiano shemeji yetu kinyume na hapo utakuja kuanzisha uzi mwingine wa kuuomba ushaur
 
[emoji1787][emoji1787]si alipungua mkuu kutokana na maelezo ya mtoa mada, anyway wanasemaga wanawake wanene hawanaga roho mbaya na visirani ila wembamba naskia huwa na visirani
Vibonge vina upendo wa dhati na vinajua kuganda kama kupe 😂😂😂ila wale wenye miili kama miwa kwanza wana midomo michafu kama chemba za choo na kupenda mabishano na ligi na wanaume kama kazi.
 
😂😂😂😂 jana kule IG mhuni mmoja katuma picha mbili moja ya kibonge na nyingine ya kimbaumbau kisha akaandika wenye akili wataielewa hii picha. Nilitaka niichukue niilete humu lakini nikaona inaweza kuzua kizaazaa humu. Nikaamua kuachana nayo.

Haleluyah.....Vibonge Oyeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana kule IG mhuni mmoja katuma picha mbili moja ya kibonge na nyingine ya kimbaumbau kisha akaandika wenye akili wataielewa hii picha. Nilitaka niichukue niilete humu lakini nikaona inaweza kuzua kizaazaa humu. Nikaamua kuachana nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anamaanisha nini BAK?
 
Na sisi saizi ya kati mkuu, sisi size 10 mtuambie tujijue[emoji1787]
Size ya kati maana we ni chubby 😋 sio chikonda!

Chubby girls ndo wanaongoza kwa nyodo mjini maana unakuta mtoto ana mguu wa kwenda, kitambi hana, chuchu kifuu, anakashepu na katako flani kakichokozi! Ukimuangalia mtoto amekatika vizuri yani kaenda mvinje hivi bana wee usiombee akivaa zile skin jeans zenu na ka top blouse amazing hivi!

Unafikiri kwanini mnatupangaga foleni hata wahuni 6 kwenye simu? Yani kila mmoja anakula mzinga kwa wakati wake ilimradi tu apate fursa ya kuchopeka mpini panapo unyevu yani acha tu!
 
Back
Top Bottom