mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
- Thread starter
- #261
Khaaa!!!! hilo husijaribu atakupigia simu kila dakika, ilishawahi kutokea ni liondoka mwezi, ila simu kwa siku alikua anapiga kama mara 20, kuna kipindi eti nataka kusiki sauti yangu chezi kabisa........Wewe kama yote yameshindikana omba transfer ya kikazi kafanyie mkoa mwengine hapo alipo muache na watoto mtaongea kwenye simu tu!