Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Wabongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann mnapenda kuhusisha mahusiano na majanga ya maisha. Sasa wewe unaishi na mwenzako kama mtu wa kuja kumtumia ukipata majanga.....
Mkuu, siye tusiseme sana. Sisi tuangalie tu mwishowe kama ataleta mrejesho mpya. Ukiwa positive haya. Ukiwa neg haya

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hahhaha [emoji23]

Kweli man!!

Pisi category hii rate ya kuchapiwa ipo chini
Ila usiombe pisi yako iwe hivi
E0391ABF-E00A-49C5-9FEF-15276B88EE69.jpeg

Hii hata ukienda Bagamoyo tu kwenye seminar wahuni wanaiweka 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazidi kumvuruga. Kisaikolojia ukishampa muhanga uhakika kama huu basi ndo atashikilia hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Watu ka hawa ni wagonjwa bana, na jiji la Dar ni vinara wa watu wenye ukichaa huku watu wakifikiria ni mapenzi, wivu uliopitiliza nao ni dalili mojawapo
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Duh,kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
 
Oa mke wa pili ndio utaijua thamani yake sasa....huyo yupo kama huyu hapa anakupigia simu kutwa mara 10...na hachoki kuongea na wewe....hadi unajiuliza kweli mimi sina shukrani mtu hakuchoki kila kukicha...kijana mpende mkeo huo ni upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni ukibugi hapo ujue umepotea njia.
 
Back
Top Bottom