Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Una mbweembwee
Mkuu jamii zetu zinatizama hasi tu chanya hamna kwanini? We end up failing life kwasabb ya maneno ya watu ndo yasababisha tushindwe maisha, always think positive
 
Wewe uko smart and experienced guy, umenielewa ipasavyo, isipo kua hata some time ana acha kazi zake muhimu ananifuata nilipo kukaa ili kua karibu nami atakuambia kazi ntazifanya badaye duh.
Me naelewa sana hii kitu nina mwanangu anapitia the same scenario na mkewe. Yaani mwanamke hampi jamaa space ya kupumua....
 
Ni kawaida ya mademu vibonge hio 😂
 
Umeona eh!! Mke hatamjali tena jamaa anamuona kama mdudu tu anamkera. Mara tu kashusha uzi humu mke wangu hanijali tena naombeni ushauri.
😂😂😂😂😂

Me naelewa sana hii kitu nina mwanangu anapitia the same scenario na mkewe. Yaani mwanamke hampi jamaa space ya kupumua....
Umeelewa vzri wengi wanafikiri nimahabah, yani anaku occupy paka unachoka, kuna siku niko kwenye foreni ka beep kama mara 10 nikampigie nikamuuliza kulikoni, hana lolote nilisahau kufunga kioo na simu yangu ikachukulia na kibaka, narudi nyumbani kavimba eti nimemkatia simu bila kumuaga arafu akianza kuongea hachoki hata 2hrs paka watu wana kushangaa
 
Umeona eh!! Mke hatamjali tena jamaa anamuona kama mdudu tu anamkera. Mara tu kashusha uzi humu mke wangu hanijali tena naombeni ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo moment huwa hatujali kweli..

Hata Akueleze anakupeleka wapi au kukupa nini.. Unaona siyo Issue tena.. Wakati kipindi unampenda hata akikupa Wallet ya elfu kumi ni utaipenda Balaa.. Nyieee[emoji2]
 
Mkuu jamii zetu zinatizama hasi tu chanya hamna kwanini? We end up failing life kwasabb ya maneno ya watu ndo yasababisha tushindwe maisha, always think positive
Hujaona mahali nimesifia tena mara 2 kuwa huyo ni mke mzuri? Au unataka mwenye gubu
 
Ameshakutoka moyoni hata ajipake dhahabu mwili mzima si Mali kitu tena ni kama mzoga tu 😂😂

Na hiyo moment huwa hatujali kweli..

Hata Akueleze anakupeleka wapi au kukupa nini.. Unaona siyo Issue tena.. Wakati kipindi unampenda hata akikupa Wallet ya elfu kumi ni utaipenda Balaa.. Nyieee[emoji2]
 
Nigaie Mimi Hugo natafuta was namna hio
 
NDOA yataka moyo mkuu

Vumilia tu mkuu
 
Yenye majibu ya mkato mkato! Sometimes hatujui thamani ya kitu mpaka tukipoteze yani
Nayeye anajua thamani yangu na umuhimu wangu jinsi ninavo mfokea angekua amasha niacha ila paka leo mwaka wa 12, ila anani kera kwa nifanya kama property yake mie ni binaadamu nahitaji uhuru wangu hata kama unanipenda
 
Sawa mkuu ndio mapenzi lkn
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…