Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

[emoji4]anakupenda & anakujali .
Jitahidi kuchukuliana na hiyo hali yake vinginevyo atatafuta attention nnje ya hapo .
Ukipendwa pendeka ,hiyo privacy unaihitaji ipo tu angalia namna ya kuipata na sio kuweka mashart ya jinsi ya kupendwa
 
Vibonge wengi wana roho nzuri na ndio maana wananenepa! Mungu anawabariki na afya tu sababu wana roho nzuri sana ila wale vimbau mbau wengi wanafiki na roho ya kwanini ndio maana hawanenepi hata wakinywa mafuta ya kula kila siku litre 1!
Eeh jamani hatimaye vibonge tumekumbukwa [emoji28][emoji28]
 
Mbona kama ako desperate jaman!! Hii kali aisee! Nadhan pamoja na kuonesha upendo bado anahisi upweke mkubwa ndani ya moyo wake.
 
Vipi na yeye anaelewa sms zako unavyochanganya R na L ? au mpaka utume sms nyingine.
 
Nakushauri umtafutie kazi ya kufanya ili imuweke busy kiasi. Nadhani anapata muda na nguvu za kufanya hayo yote kwakuwa mara nyingi anakuwa idle. Mtafutie sehemu atayotumia muda wake na energy anayotumia kukuletea usumbufu
 
Nakushauri umtafutie kazi ya kufanya ili imuweke busy kiasi. Nadhani anapata muda na nguvu za kufanya hayo yote kwakuwa mara nyingi anakuwa idle. Mtafutie sehemu atayotumia muda wake na energy anayotumia kukuletea usumbufu
Ahsante kwa ushauri mzuri ntaifanyia kazi japo hataki kazi
 
Wanawake wote wa siku hizi wako hivyo. Kwanza hawafuatilii,wala hawataki kujua sana kazi unayofanya. Hawazingatii kuna muda unahitaji kupumzisha akili ili ujipange na mambo yako ya kazi. Wanachotaka wao wanataka uwape attention tu. Kila wakati umpigie pigie,umcheck check. Hawataki useme uko busy
 
Mkuu hili ni tatizo ila watu wengi hawajaliona bado wanaona eti ni mahaba .
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakubal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…