Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Hahahahaha

We mwanaume au mvulana
Mkipendwa tabu Tu msipopendwa ndo mtalalamika weeeee oooh hata nikija ndani hanipokei, oooooh bahipelekea maji ya kuoga, hanijali

Leo umejaaliwa umeanza lawama ngoja masela wambyatui ndo utajua kua hujui


[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mkuu naona wewe umenielewa nimpeleke hospitali gani, na niweleze je ni aibu kdg nipe mbinu basi
Mtaftie Wana saikolojia Mimi Nina rafiki yangu naye ana tatizo ka Hilo ila yeye humeza vidonge kabisa ila anapenda kuongea mda wote na kupiga simu, anataka ku chart akuone tu ila ana ugonjwa wa akili na anaendaga kitendo Cha ma physchiatrix.
So huo ni ugonjwa tu ka wengine hata juzi Dr wa magonjwa ya akili alielezea kwenye siku ya mental health.
Mimi rafiki yangu namvumilia ingawa inachosha marafiki zake huwa Wana mkwepa
 
Kutoka mwanzoni iko vile cijafanya issue yoyote ya kuni suspect some time nikiwa citaki anisumbue kwa simu simu zote na muachia home am transparent towards her sina mambo ya kandokando na siependi yata nipotezea mda zaidi
Mpige mimba Azae mapacha
Auone mziki wake

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Asipokuelewa basi[emoji106]
 
Tenga muda mukaongelee mbali zaidi. Yeye anakuona wewe ndo kila kitu kwake. Usija fanya akarudisha upendo wako kwa nduguze. Utaumia. Utakua last option

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nadhani nimefanya kila jambo kumtengea mda tukae nae ila haridhiki, kuna kipindi nimeanza kuangalia tamithiria za kihindi kwenye Azam TV hata sizijui wala hazinivutii ila nakaa sebule masaa mawili anilalie wakati anatizama na mimi nafanya unafiki eti na enjoy wakati hata sina interest nazo kumbuka huyu mke kanilalia mapajani karibia masaa mawili ni mzito ila navumilia.....what else should I do ni mfurahishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…