Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], goti mbele ya parokoNakumiss muhenga! Nitapiga goti tu ili unisamehe.
Kabisa mkuu umuite mama anahathi ya kufanana na mama?kisha umpigie gotiKuna vitu viwili..
Kupiga magoti.
Kumuita mama.
Ukifanya huu upuuzi utakua MPUMBAVU.
Nitakupa pasiwedi uwe unajibu mwenyeweTena nimekosea kutoa siri ya kambi nisije fanya PM yako kujaa
Ajibrand katika lipi?Anataka kukutumia ili aji brand
unaelewa maana ya kujichoresha? hiko unachotaka jamaa afanye ni kujichoresha. kila muumini atakaemuona barabarani atakua anajua uovu aliotenda. sio kitu kizuri. yaishe tu chinichiniKupga magot na kuitana mama mm siungi mkono ila kwa msamaha jamaa aende tu
Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Na bado anakuja kulalamika kishamba hivi.Naskia ucchungu wanaume tunazidi kupungua...
Mke wako amepata wapi ujasiri wa kukwambia upuuzi huo aiseee !!!
Hata Mungu hapendi ujinga kama huo kasema tuungame dhambi zetu kimya kimya sio kudhalilishana[emoji16][emoji16][emoji16]..
Au ndugu yetu umekwama jogoo hapandi mtungi
Muulize hivi siku hizi una akili timamu?Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Duh hata kama kuchepuka ndio akapige magoti mbele kabisa kanisani!?? Mke ana masharti magumu mno aisee! !Ndio kosa alilomfanyia? Mimi nilijua labda alichepuka[emoji3][emoji3][emoji3] kama alisema mbele ya kanisa ni vizuri kauli akaifutie huko huko
Kwanza msamaha wa kweli hauna masharti ndani yako, msamaha ni kitu kinachotoka moyoni kama kupenda au kuchukia hakuna masharti ndani yake
Pili: Huyo mke wako ni aina ya wanawake wajinga ambao ujinga wao umeutengeneza wewe mwenyewe kwa kumuendekeza mpk akupe masharti ya kukudhalilisha. Kuwa mwanaume na simamia misingi ya kiume husiyumbishwe wala kuchezewa na mwanamke. Hata kama umefanya kosa kubwa kama kuzaa na mwanamke mwingine lazima mwanaume uwe na sauti ya mwisho umeomba msamaha ndio mwisho akihamua kusamehe sawa asiposamehe sawa sio unambembeleza bembeleza kila siku utadhani akiondoka unakufa bwana. Pumbaaaf
Nitakupa pasiwedi uwe unajibu mwenyewe