Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Dadeki. .nakazia
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
 
Hahaha uchonganishi huu
Ndio kosa alilomfanyia? Mimi nilijua labda alichepuka[emoji3][emoji3][emoji3] kama alisema mbele ya kanisa ni vizuri kauli akaifutie huko huko
 
Mtoto mzuri. .mambo
Heheheeee....Hivi naanzaje kumwambia mume wangu hayo mambo ya kuniomba msamaha mbele ya kanisa? Khaaa...Nikishamsamehe mie inatosha saaana.
 
Aisee. .nimechelewa wapi kumjua. Unazidi kunitia wazimu

Wewe si unakimbizana na kina Katoto Kazuri humu. Wenzako tunajua wapi pakulenga.

Mchukue Dada wa madini Manengelo. Naye ni kisu cha bucha la nyama pori.
 
hii thread ilinifanya nipigwe ban, leo sitii neno , naunga mkono upuuz wa huyu mwanamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu utatua mbavuu
 
Hahaha hapana. ..tutabanana hapo hapo kwa Khantwe. ... manengelo nakuachia wewe mwenyewe mkuu. .haha
Wewe si unakimbizana na kina Katoto Kazuri humu. Wenzako tunajua wapi pakulenga.

Mchukue Dada wa madini Manengelo. Naye ni kisu cha bucha la nyama pori.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu utatua mbavuu

sasa kaka tusemeje ? inabid tusifu tu kwa mapambio manake tukisema tunalaan hicho kitendo cha huyo dada tunaonekana watovu wa nidham, cha msingi ni kila mtu ashajua kosa li wapi ??
 
Yeye ndo nani anetoa msamaha kwa mbwembwe izo. Wakati mungu anasamehe makosa makubwa makubwa kwa ukimuomba msamaha kwa siri. Baharia komaaa tu kibingwa
 
Back
Top Bottom