Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Huyu jamaa anatuzingua huyu.. Yani mwanamke anakuchapa makofi kila siku wakati umetoka kufanya mambo ya msingi?chaliifrancisco ,
Haaa haaaa haaaa haaaa haaaa.
Akili zako Kweli ni za Ki-chaliii.
Pokea like mubashara.
Kama Beira Baby BoyI guess we ni miongoni mwa wale wanaume wenye dimples.
hahahaha wapo wengi sana humu mkuu.
Yah akikuchapa leo kesho hurudi unamwambia naogopa kuchapwa!Huyo mbona dawa yake ndogo sana