Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Huyu jamaa anatuzingua huyu.. Yani mwanamke anakuchapa makofi kila siku wakati umetoka kufanya mambo ya msingi?chaliifrancisco ,
Haaa haaaa haaaa haaaa haaaa.
Akili zako Kweli ni za Ki-chaliii.
Pokea like mubashara.
Mimi kama najijua nimetoka kuchepuka nikichapwa kofi naweza vunga ila nimetoka tafuta riziki kihalali alafu nafika mwanamke akianza ngendembe tu tayari atachezea kelebu, sasa mpaka akifikia hatua ya kunichapa kofi nahisi atalazwa hospitali