Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

chaliifrancisco ,

Haaa haaaa haaaa haaaa haaaa.

Akili zako Kweli ni za Ki-chaliii.

Pokea like mubashara.
Huyu jamaa anatuzingua huyu.. Yani mwanamke anakuchapa makofi kila siku wakati umetoka kufanya mambo ya msingi?

Mimi kama najijua nimetoka kuchepuka nikichapwa kofi naweza vunga ila nimetoka tafuta riziki kihalali alafu nafika mwanamke akianza ngendembe tu tayari atachezea kelebu, sasa mpaka akifikia hatua ya kunichapa kofi nahisi atalazwa hospitali
 
Kwamujibu wa ripoti ya matukio ya unyanyasaji wa kijinsia, kuna wanaume wengi sana wanapigwa na wake zao ila wanaona aibu kuripoti matukio hayo ya unyanyasaji, nakushauri siku nyingine akikupige uende polisi kuna dawati la jinsia utasaidiwa!
 
Yaani saa mbili umechelewa!!? Wenzio tunafika saa 5/6.
 
Emu jaribu kukaa home yeye akatafute ela aone kma n rahisi
 
Back
Top Bottom