Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Atafute la shillings ngapi? Au hupendi mwenzako maana atajifunza ufundi magari bila kupenda na gharama za maisha zitapanda mara tatu.
Akichukua gari la milioni mfano toyota cresta ya zamani haliwezi kumsumbua ila akitaka IST au Ractis litamsumbua kweli
 
Akichukua gari la milioni mfano toyota cresta ya zamani haliwezi kumsumbua ila akitaka IST au Ractis litamsumbua kweli
Ukiwa mzoefu inawezeka ukapata nzuri. Kwakuwa ni gari la miaka ya nyuma na kuuzwa bei hiyo litahitaji matengenezo ili liwe sawa. Mara utasikia engine inahitajika kufanyia overhaul kiutani utani unajikuta gharama zinakuwa kubwa. Pia huyo mtu ana ABC za magari ili asije nunua kimeo tumeona watu wapaki hivi vigari vidogo kisa kapata ya milioni tatu tatu
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Kama kodi unatoa wewe hama hapo haraka sana , utakosa amani hadi lini, ili muhame kirahisi, tengeneza mazingira kuwa nyumba inavibweka vya ushirikina, vinja hata nazi sebuleni kwako usiku, weka mayai viza kitandani kwako kwa chini, yaani full vibweka,
 
Nauzingatia ushuri wako mkuu japo zipo sababu classified zinazopelekea kuwa hapa, kodi tunasaidiana kulipa japo mm nalipa 85% ya kodi katika 350.
 
Back
Top Bottom