Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
7,714
Reaction score
12,239
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
 
Huo ni mtihani migumu sana kwenye maisha haya Kimsingi we potezea na Wala usihoji tena hio itakusaidia kuepusha migogoro Kwa kudhania tuu
Mtihani kweli ndugu yangu, zamani akiandaa chakula mezani alikuwa akinikaribisha sasa hivi akiandaa msosi wakati mimi nazuga na simu yangu nikisubili anikaribishe naona mwenzangu anaendelea tu kula mpka najiongeza mwenyewe kwenye meza.

Sijui hili bazazi linalotoa lift kwa wife lishaanza kumpakuwa ama vp, sielewi kabisa yaani.
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Keshakubali, kuleni wote.
 
Daaah othman mzee wa matreni, kipindi flani uliniweka mjini na yale matreni yako mzee
 
Back
Top Bottom