Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Mkuu hapo ni 100% unachapiwa... Hiyo ilishawahi kunikuta japo haikuwa kwa mke bali girlfriend... Nilitombewa na watoa lift wawili tofauti

Mtoa lift wa kwanza nilisamehe kwa kuhisi aliteleza

Baada ya kama miezi mitatu akajitokeza mtoa lift mwingine, mama ikaanza dharau nikaipiga chini
 
😢😢 aloooo
 
Duh, Mkuu wewe ndio umekuja kunifanya usiku niuone mchungu.

Huwa najiuliza sana huko njiani kote huwa wanaongea kitu gani?
 
Back
Top Bottom