Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 502
- 1,337
Hapo ni kupiga moyo konde tu kama mna watoto. Migogoro kama hiyo ndio chanzo kikuu cha familia nyingi kuvunjika..... Na niamini mimi, wife hatawahi kukusikiliza kwenye suala zima la kumkataza hizo liftDuh, Mkuu wewe ndio umekuja kunifanya usiku niuone mchungu.
Huwa najiuliza sana huko njiani kote huwa wanaongea kitu gani?
Na kama huwa ana tabia ya kujipiga picha (wenyewe wanaita kujisnap) kwenye hayo magari ya lift, chorea mstari neno "kugongewa"