Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Mkataba ukiisha hama hapo ushuani nenda kwenye size yako, sema shem nae kichwa nazi kwann anaanza dharau za kutokukukaribisha msosi na kukaidi amri asipande gari la mwanaume. Mechi unapewa bila kipimo lakini au sio
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Tafuta hela mzeee
 
Nunua na wewe gari au kama huwezi tafuta na wewe gari ya mwanamke mwingine awe anakupa lifti na hakikisha mkeo nae awe anashuhudia hiyo hali na ikibidi tafuta mwenye msambwanda kumzidi shemeji
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Mkuu nunua gari au hamia uswahilini kama hutaki kumuona akiombwa. Sio kwamba hatoombwa ila hutamuona.
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
"Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea" - Afande Sele
 
Kuwa kama baba na mwanaume piga marufuku kali sana. Hapo akija kupigwa miti wewe ndio utakuwa tatizo umeshindwa kumlinda
 
Inasikitisha kuwa makini ohooo!

Kuwa kama baba na mwanaume piga marufuku kali sana. Hapo akija kupigwa miti wewe ndio utakuwa tatizo umeshindwa kumlinda
Nimefanya hivyo mkuu lakini kwa mfano umeongea leo kesho ataacha baada ya muda unakuta anapanda tena. So najaribu kumkanya lkn still anaendelea
 
Back
Top Bottom