othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
- Thread starter
- #121
Sija thibitisha kama kashaliwa mkuu ni hisia tu.Huyo ashaliwa tayari mwezi mmoja haupiti labda mwenye gari awe na roho wa Mungu haswaaa
Sija thibitisha kama kashaliwa mkuu ni hisia tu.Huyo ashaliwa tayari mwezi mmoja haupiti labda mwenye gari awe na roho wa Mungu haswaaa
pole sana ndugu,jitahidi unaunue hata bajajiIpo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.
Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.
Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Bajar tena?pole sana ndugu,jitahidi unaunue hata bajaji
Asante sana kwa ushauri wako kaka na kunitia moyo.Brother, pole sana... Naelewa hali unayoipitia, naelewa kale kaunyonge unakokasikia ndani ya moyo hadi kufikia kuandika humu, nakuelewa.
Ila wakati mwingne usiwe mnyonge sana. Simama kama kidume brother, huyo ni mke wako hatakiwa kukuzidi akili, though kikawaida hauwezi kumuendesha mtu mzima mwenzio, lakini anapaswa kukutii na kukusikiliza, haijalishi.
Ikiwa kuna mabawa yameota, usitumie nguvu, zama ROHONI, usiku toka kitandani nenda sebleni, mueleze MUNGU MWENYEZI hali unayoipitia sio kama maombi Bali kama mazungumzo ya kawaida lakini SERIOUS, halafu mwambie nini unataka, fanya hivyo kwa siku kadhaa.
Kesho yake, usimuache akutangulie kazini, toka nae- kabla hamjatoka fanyeni sala pamoja... Week 1 au 2 atazoea.
Kwa namna yoyote, nyumbani mkiwa na muda wa maombi wa pamoja ile jioni na asubuhi, kaka nakuhakikishia kiburi huwa kinapotea.
Remember, usioneshe unyonge wala ubabe, swallow your pride and anger, jikaze, lakini muombee hata kama ni ngumu just do so.
Nakuombea MWENYEZI MUNGU ALIYEWAUNGANISHA, AWASAIDIE.
POLE SANA KAKA.
Dr. Mariposa labda mungu hajaniandikia kwa sasa nimiliki gari ila wakati ukifika nitakuwa nalo tuNunua gari na wewe, wife wako anadhalilika kisa kitu cha milioni kadhaa tu
Na ikiwa hivyo itakuaje mkuu, coz kama naona kwa macho yangu ya nyama anavyopanda hapa nyumbani kitu gani kipya kitokee iliwa mole akanipa info kwamba anamfikisha kazini?Huna mwanamke hapo ,fanya hivi tafuta mole mja aje mpaka mnapoishi afahamu namba ya gari inayomchukua.kisha nenda aende kazini kwake observe kama analetwa na gari kazini kwake .ukihakiki kuwa huyo ndugu anampeleka ofisini na kumfikisha fahamu kuwa kuna jambo la ziada
Hakuna jambo lolote lisilowezekana kwa MUNGU.Asante sana kwa ushauri wako kaka na kunitia moyo.
Kutokana na hali tuliyonayo hatuna utaratibu wa kufanya maombi pamoja hata kanisani tulishaacha kwenda siku nyingi tu kwa hali ilivyo na kwa ushauri wako bora nianze kumrudia mungu wangu labda itabadilika hii mtu
VanguardHuyo jirani ana gari gani?
Asante kaka, wacha nijaribu kwa mungu pengine naweza okoa ndoa yangu.Hakuna jambo lolote lisilowezekana kwa MUNGU.
Anza na watoto kama unao, kabla hamjalala fanyeni Ibada pamoja, muombeeni na Mama yao tena asikie hata asipojumuika.
Mnunulie zawadi mara 1 1 hata kama ni ndg, siku 1 1 hata kama ni mara 1 kwa mwaka, mtoe out na watoto, hata kama ni sehemu ya kawaida...mkiwa huko zungumzeni, pia ombeni pamoja.
Nyumba isiyo na MUNGU, shetani lazima atawale hapo.
Mimi binafsi, I wish you well.
I'll tell my wife, tutawaombea kaka.
So unashauri nipige chini au?Hili ni somo kwa wengine ambao bado hawajaoa unakubaliana na mkeo kuchumia juani kula kivulini kumbe yeye anataka kuchumia na kula kivulini 🤣
Simple tu Hakuna mke hapo, huyo hata usiponunua TV nyumbani ataenda kuangalia kwa jirani.
Si ulimpenda mkuuSo unashauri nipige chini au?
Yaani niachane ndio unamaanisha aunsio, sasa sababu ya kumuacha ndio mtihani kwa kuwa amegoma tu kuacha kupanda lift?Aidha ameliwa au ataliwa mkuu,mkataze akikaidi meache