Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Tafta hela ununue gari. au muwemnapanda wote lift mkuu
 
Tayari umezidiwa kauli na mke wako, hasikilizi maonyo yako, yote yanawezekana ama ameanza tabia mbaya au hafanyi chochote na hao wanaompa lifti. Kutokuwa na gari hapaswi kutumia mgongo huo kufanya anachojisikia Yeye.
Ushauri wangu kwako kwa sababu amekataa kukusikiliza, kuanzia sasa hakikisha mnatoka pamoja na mke wako, sasa huyo mtoa lifti atachagua awabebe wote au mtembee mkapande usafiri wa abiria.
Fanya hivi kila siku na kama mpo karibu ofisi zenu na mtoka muda sawa, hakikisha unampitia au yeye anakupitia mnarudi pamoja nyumbani. Hii ni njia mojawapo ya kumshinda shetani aliyeanza kunyemelea ndoa yako.
 
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.

Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.

Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.

Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Atapanda zaid ya gari endelea kulalamika
 
Mkeo sio mstaarabu kuna vitu alipaswa kufanya ili wewe usijisikie vibaya kama binadamu
Mambo ya lift sio ya kuyaendekeza tabia ya kupenda kitonga sio poa
Ila nikutoe wasiwasi watu wakiwa na mambo meusi hawajiweki wazi hivyo kama ni lift angekuwa anapanda mbali na nyumbani ili isionekane
Kingine nusu saa ni muda mchache ilitakiwa muwe mnatoka wote asubuhi mnapeana kampan
 
Pole Sana hapo ni kuzidi kutafuta pesa tu, wanawake wengi Wana Tabia ya kujilinganisha na walipotoka na nikwambie kitu Kwa uzoefu wangu wanawake wanaopewa pewa lifti karibu asilimia tisini wanaliwa au ni rahisi kuliwa na mwenye gari...Kama ishu ni kuwahi kazini basi aamke mapema na hata hivyo siku nyingine ilikuwa anawahi vipi kazini bila hizo lifti?

Haijakaa kiungwana na kiheshima mke wa mtu kupanda panda lifti Kila siku, mwambie kuwa hupendi Hilo suala na umueleze kiasi gani unakuwa na wasiwasi kwenye Jambo Hilo then mueleze uhalisia wa jinsi gani n rahisi Kwa yy kuingia kwenye vishawishi kwenye Hilo jambo, ingekuwa ni Mimi lazima tungegombana.... mwanamke anayejitambua hawezi Kurudia rudia hiyo michezo ya lifti Kila siku, Yani Jamaa mwenye gari Kila siku kichwani mwake anajua kabisa Nina ratiba ya kumchukua mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom