Akichukua gari la milioni mfano toyota cresta ya zamani haliwezi kumsumbua ila akitaka IST au Ractis litamsumbua kweliAtafute la shillings ngapi? Au hupendi mwenzako maana atajifunza ufundi magari bila kupenda na gharama za maisha zitapanda mara tatu.
Daaah🤣🤣🤣😂"Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali"
Tunaomba picha ya msambwandra wa shemeji, tujue tunaanzia wapi kukusaidia.
Ukiwa mzoefu inawezeka ukapata nzuri. Kwakuwa ni gari la miaka ya nyuma na kuuzwa bei hiyo litahitaji matengenezo ili liwe sawa. Mara utasikia engine inahitajika kufanyia overhaul kiutani utani unajikuta gharama zinakuwa kubwa. Pia huyo mtu ana ABC za magari ili asije nunua kimeo tumeona watu wapaki hivi vigari vidogo kisa kapata ya milioni tatu tatuAkichukua gari la milioni mfano toyota cresta ya zamani haliwezi kumsumbua ila akitaka IST au Ractis litamsumbua kweli
Kama kodi unatoa wewe hama hapo haraka sana , utakosa amani hadi lini, ili muhame kirahisi, tengeneza mazingira kuwa nyumba inavibweka vya ushirikina, vinja hata nazi sebuleni kwako usiku, weka mayai viza kitandani kwako kwa chini, yaani full vibweka,Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.
Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.
Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali