Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Mwanamke anaejipost mtandaoni anatafuta attention ya wanaume wengine.Ni kweli
Lakini vitu ambavyo havidhuru familia haina haja kuumizana.
Fikiria mke amwambie Mume anachukizwa na yeye kwenda kuangalia Mpira.
Mwanamke kujipost sioni tatizo kwa upande wangu.
Ingawaje inategemea anajipost amevaa au Akiwa anafanyaje au anasema nini
Akijipost insta, fb, na WhatsApp unajua ni kwa kiasi gani ana activate minds za wanaume wengine? akijipost mara kwa mara dm za kutongozwa huanza kumiminika(kuna demu mmoja average tu aliwahi kunionesha inbox yake ya fb, aseee ni balaa)
Sasa jiulize, watu woote wanaokuja dm ya mkeo, unaowajua na usiowajua wenye hadhi tofauti tofauti mkeo ataweza kukwepa Mishale yao???
Kuepusha yote hayo ni bora asijipost tu.