Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
Mwanamke anatakiwa awe na stara....na stara ni kujihifadhi......sasa mwanamke anaweka mapicha mitandaoni anatafuta nini.....??

Na kwanini mwanamke akazanie kufanya linalomkera mumewe.....
 
Kitu ambacho hukijui ni kuwa mwanamke huendeshwa na hisia sio akili ndio maana aweza mpa ❤️ mpiga debe angali ameolewa na dereva wa gari

Jua ya kwamba tunaishinao tuuh
 
Pole sana jifunze kuwa na spear part yake na anza kutolidi nyumbani akikuuliza mwambie unamkbua mume wake wa mitandaon
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Anamtumia mpenzi wake amuone ndiyo maana hakusikilizi wewe mume wake.
 
Back
Top Bottom