KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mwanamke anatakiwa awe na stara....na stara ni kujihifadhi......sasa mwanamke anaweka mapicha mitandaoni anatafuta nini.....??Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
Na kwanini mwanamke akazanie kufanya linalomkera mumewe.....