Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Mwanamke anaejipost mtandaoni anatafuta attention ya wanaume wengine.

Akijipost insta, fb, na WhatsApp unajua ni kwa kiasi gani ana activate minds za wanaume wengine? akijipost mara kwa mara dm za kutongozwa huanza kumiminika(kuna demu mmoja average tu aliwahi kunionesha inbox yake ya fb, aseee ni balaa)


Sasa jiulize, watu woote wanaokuja dm ya mkeo, unaowajua na usiowajua wenye hadhi tofauti tofauti mkeo ataweza kukwepa Mishale yao???

Kuepusha yote hayo ni bora asijipost tu.
 
Kama ni za staha hakuna shida yeyote ile, na kuna muda ikifika ataacha mwenyewe na kuona ni upuuzi.

kila mtu ana vitu vyake vya ajabu na vinampa furaha.

wengine ndo tunapenda kuchat JF kuliko na Wapenzi wetu
 

Huo ni Mtazamo wa wanaume wadhaifu wasiojiamini.

Kwani mtaani hawezi kutongozwa?

Kwa hiyo unamzuia Mkeo asipost mitandaoni Sababu ya kuogopa atatongozwa?
Hiyo sio hoja Kwa Mwanaume thabiti, Alpha Male.

Labda useme anapost picha akiwa hajavaa kiadabu,
Au hajakaa mikao ya kimaadili
Au anazungumza Maneno yasiyo na maadili.
 

Sasa kama hapendi mambo ya mtandaoni alioaje mtu anayependa mambo ya mtandaoni?
Huyo mwanaume atakuwa anamatatizo Makubwa
 
Kufupisha story hapo kwenye hiyo ndoa wewe ndo umeolewa
 
Neno mke siku hizi linakuwa abused sana,
 
Nakuona kada wetu, 😂
 
Wanaojipost sana wanafahamika tabia zao.
Tupe jina tumtimizie hitaji la moyo wake!
 
Hapana mkuu, kama wewe ni mumewe ndani, ni nani anaempostia picha mtandaoni???

U alpha male wako hauwezi kuzuia dm za wajuba?

Kuna tofauti kubwa sana ya mtongozo wa mtandaoni na wa mtaani
 
Insta anapatikana kwa jina gani tukamuongezee followers😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…