Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Yani within only 6 days alimsamehe na mbususu akapewa ....dah kaharubu kila kitu
 
Sasa mimi naona tumshauri afanye nini bada ya kuharibu ...maana amesha haribu
 
Bwege tu na wewe mafala kama nyie mtachapiwa sana kubabake zenu
 
Ngoja ampe mrejesho ex wake,wabadili mbinu.Hadi sasa sijawahi kuona watu wakiachana kabisakabisa,mtu hatakama ana maex 45,watamla kwa mbinu tofautitifauti hatakama mume akigundua,kinachobadilika ni mbinu tu ili usigundue kiurahisi.Teknolojia imerahisisha sana.Pole sana na utambue hadi unakuja kugundua,watu wengi wanajua,ila hukuambiwa.Hapo mke anajifanya anajutia,ex wake je,anajutia au ndiyo kapata furaha baada ya wewe kumsamehe?
 
Nimepata muda wa kupitia komenti, baadhi ya watu wanakomenti kwa hasira muno na matusi juu, kitu ambacho wengi wetu tunasahau ni kwamba

Wake tunaowaoa wanakuwa siyo Bikra, kwa maana hiyo wanakuwa wameshalalwa na watu wengine kama sisi wanaume tunavyokuwa tumeshalala na wanawake wengine.

Ni kweli kosa la kuchepuka halifai kupewa msamaha hata maneno matakatifu yametamka wazi, lakini ukimwacha ukamuoa mke mwingine, huyo mwingine utamkuta Bikra?, Vile vile upo uwezekano wa kumuoa mwingine mwenye tabia chafu zaidi na mambo yakaharibika zaidi.

Wanaume wenzangu nawaelewa mnaposema nimekosea kumsamehe, hii ni kwa sababu mara nyingi tunavutaga picha na kufikiria ni jinsi gani alikuwa anashiriki tendo hilo na huyo mtu.

Baadhi naona walitaka nifanye tukio baya zaidi kama kupiga, kuua au kumfukuza papo kwa papo kitu ambacho kingeleta madhara zaidi kwa familia zote mbili(hapa waliopo kwenye ndoa wataelewa)

Kuna watu wanasema amejifanya ameigiza, sizani kama ni kweli yaani aigize pressure na moyo kushtuka?, Hapa ninapoandika hali yake bado ni mbaya muno.

Kwa kumalizia kuna watu wamelaumu kumsamehe, kama nisingeweza kufanya hivyo haraka uhenda angekunywa Sumu kweli na kufariki, kwahiyo kuepusha yote hii imebidi nifanye hivyo maana hamna haja ya kuua wakati uwezekano wa kumrudisha kwao na kila mtu akaendelea na maisha yake upo pia.

Vile vile pamoja na adhabu hii na msamaha niliyompa, bado kuna hatua kadhaa zitafuata baada ya yeye kuwa ameruhusiwa kutoka hospitalini, so niko well organized kupambana na hii changamoto.

Ushauri ninaouchukua kutoka kwenu ni ule ambao una lengo la kuleta suluhisho la kudumu, na siyo ule wa kuchochoea mgogoro zaidi, nimefarijika kuna baadhi wanatoa ushauri wa maana zaidi.
 
Tumia huo udhaifu wake akupe details za michepuko yake yote. Na amdanganye kuwa anakutana nae gesti. Andaa majamaa zako. Afu chapa wote mikong'oto. Hadi sura ziwe za andazi
 
Wanaaake wasanii anakuchezea usanii. Mwanamke akishapenda yupo tayari kupoteza kila kitu kwa ajili ya mwanaume anayempenda, ni dhahiri hadi akkachepuka na msela ni kuwa wewe haumo moyoni mwake.
Hivi inakuwaje mwanamke ana cheat. Mimi katika maisha yangu sijawahi cheat hata kwa boy friend, kuwa na mtu zaidi ya mmoja at the same time hapana aisee.
 
Anakutishia nyau tu. Wanawake ni wajanja kuliko wanaume. Kaa ukijua hilo. Mpaka amechepula myfriend tambua kuwa anakuzidi maujanja na kujinyongonyesha ni janja janja tu ili umsamehe. Na ukimsamehe atarudi kwa X-wake na atamwambia Yule Fala nimeshamweka sawa. Life linasonga.

Pole kwa yote. Kama umeshazaa nae basi vumilia hiyo ni hasara tayari. Kama hujazaa naye mteme.

Ukishupaza shingo ukajifanya unampenda sana jiandae kulizwa maisha yako yoote.
 
Tumia huo udhaifu wake akupe details za michepuko yake yote. Na amdanganye kuwa anakutana nae gesti. Andaa majamaa zako. Afu chapa wote mikong'oto. Hadi sura ziwe za andazi
Huo ndio ujinga sasa Aache kufanya kazi zake afatilie watu wanaopendwa??

Mkuu kumbuka Mke wake anatembea na watu anaowapenda sio kqa bahati mbya
 
hata nimkute kitandani maana nampenda Sana na bado namhitaji.
Ukzingatia pia mi mwnywn Ni mchepukaji haswa,
huna lolote Dp...

ungempenda mkeo usingeshinda hapa kumsifia mchepuko wako....

sema unaishi nae tu kwasabab mnawatoto
 
Mwezi wa 10 mwishoni anaenda kumpa mbususu jamaa, this time wataboresha njia kuepuka kukamtwa pole Sana mkuu
 
Kimsingi umekuwa na hoja za msingi kumsamehe na ndivyo inavyotakiwa.

Mke wng nilimuambia tutasameheana makosa mengine lkn ukija fanya kosa la kuchepuk na nikajiridhisha nakupa kadi nyekundu uende kwenu na mm pia siwezi kufanya ujinga huo.

Sasa ikija tokea amechepuka lazima nitamsamehe lkn lazima arud kwao akae atleast mwezi mmoja ili nione anaombaje msamaha.

Biti kibao lakin mwisho msamaha muhimu lkn sio kirahisi rahisi tu nakusamehe.!!
 
Wewe ndio unapata wakati mgumu.yy tayri kaliwa utamu anauckilizia tuuu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hongera aseehh!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mweehhh!balaa una nafasi yako peponi
 
Inaonekana yuko kwenye majuto, naweza sema msamehe.

Ila kwangu adhabu ya kosa la usaliti ni straight red card.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]brooh hakuna msalie mtume,Tena dini imesema kabisa uzinzi ni straight talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…