Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

ni wewe huyu unaandika yote haya au???

kwamba wewe huchepuki, au mkeo hachepuki na mchungaji??

au kwa vile hujamkamata???
 
Sijifariji nimeshare uhalisia ulivyokuwa.
 
Mwanamke akichepuka anaachwa ndg hiyo ni sheria ya maisha
(Ukweli ni kwamba 90% ya wanaume wake zetu tunawapa kimoja tukizid sana viwili so akichepuka huko nje akapewa vinne vya kushiba we hutakuwa na thaman tena kwake
So hata ukimsamehe atamis tu ile shughuli ya nje) ndo maana kesi ya mke kuchepuka haijadiliwi ni kuachwa tu
 
Acha kumtesa mwenzio,piga mzigo atulie Kisha mwambie aache hiyo tabia mbaya,Mungu hapendi halafu baadaye Unamwambia,baby njoo tupige game muda wa kucheza umeisha.
 
Kama una show mbovu ya nini umtese.we jirekebishe wewe kwanza acha umama
 
Babee hili zumbukuku nimelipiga movie moja hatari ya kinaija kashanisamehe [emoji23][emoji23] sasa mpenzi nivumilie angalau miezi mitatu nimpotezee maboya huyu pimbi halafu nitakuletea utamu wako sawa mpenzi mic u.

(KINACHOENDELEA INBOX)
[emoji23][emoji23][emoji23]ha. Asee haya mambo haya yaache kama yalivyo tu.... Kila mtu anamtazamo wake, na wengi Humu mnacomment kuwa jamaa kakosea kufanya hivo ila kiuhalisia Man ndio tunachepuka sana...
 
Wanawake ni wajanja sana linapo kuja swala la kuigizwa, wanaweza igiza hata wako mahututo wanakaribia kukata kamba.

Ujue simba akiua mtu then akamla, inabidi huyo simba atafutwe na auwawe make hataacha hio tabia kamwe na ataendelea kula binadamu, So huyo Mke usidhan kusamehe ndo ameacha, Wanawake ni wajanja sana.

Kisa kama chako kisha wahi tokea kwa jamaa mmoja hivi naye alifamania then kasamhehe baada ya mke kulia sana usiku ba mchana, ila baafae kilicho kuja kutokea jamaa hakuamini kwani baadae mke alikuja kuoleqa rasimi na huyo mpenzi wake, so ishangae hata baada ya miaka 10 wanakuja kuoana, m
 
Inakuwaje sawa kwa mwanaume kuchepuka na mchepuko wenye bwana wake ila akichepuka mke ni kosa la jina??i
 
Sijifariji nimeshare uhalisia ulivyokuwa.
Hataacha hio tabia beleve or not, anaweza cool hata two years ila haatacha kamwe na hawezi mfuta X wake rohoni mwake, ipo siku utakumbuka ushauri wa watu mbali mbali humu na itakuwa ni tooo late,
 
😅😂 wee jamaa fala sana, unawajua wanawake au unawasikia tu, huko kujiliza kujutia anataka sumu ni kukupima una akili au ni mwanaume bwege tu, na hata sasa anapoendelea kutia huruma bado anakuigizia tu ili umuonee huruma...
Ng'ombe wewe nakuhakikishia ex wake atamtromba tena mkeo haizid mwezi...
Anyways kila lakheri ktk maisha yako ya kuendelea kuishi na nyoka ndani ya nyumba moja, ipo siku yako...
 
Usirudi nyuma, usiirudi nyuma by abiudi [emoji1], ma ex wanakazaga kwa fujo ili wapate credit

Achana na hiyo takataka, utaambulia magonjwa ya aibu
 
Sasa hapo MKE Ni Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…