Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
acha gubu mpwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wewe huyu unaandika yote haya au???Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.
Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.
Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.
Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)
Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.
Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.
BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Sijifariji nimeshare uhalisia ulivyokuwa.Nimesoma uziwako nimejikuta nawaza mambo mengi sana ... kwanza unaonekana unajifariji kanakwamba ume win , umefikia hatua eti ume mwonea huruma mpaka umerejesha majeshi ,hizo ni nyege zimekurudisha lakini naomba upokee huu ukweli mchungu ... huyo mwanamke hakufai ...... ila kama unampenda komaa naye kwasabu mpaka mwanamke awe na mawasiliano na X wake , mpak akubali kuvuliwa nguo na kutombwa aiseee ni process ndefu sana ... sasa yeye kesha tombwa tena siyo mara moja na mpaka wewe ukajua bado umekza siku 6 only then unkuja hapa kujitamba kana kwamba ume shinda ....ngoja nikwambie tu umesha pigwa na kitu kizito kichwani tena ukiondoka anaku zomea ... shtuka man
Acha kumtesa mwenzio,piga mzigo atulie Kisha mwambie aache hiyo tabia mbaya,Mungu hapendi halafu baadaye Unamwambia,baby njoo tupige game muda wa kucheza umeisha.Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]ha. Asee haya mambo haya yaache kama yalivyo tu.... Kila mtu anamtazamo wake, na wengi Humu mnacomment kuwa jamaa kakosea kufanya hivo ila kiuhalisia Man ndio tunachepuka sana...Babee hili zumbukuku nimelipiga movie moja hatari ya kinaija kashanisamehe [emoji23][emoji23] sasa mpenzi nivumilie angalau miezi mitatu nimpotezee maboya huyu pimbi halafu nitakuletea utamu wako sawa mpenzi mic u.
(KINACHOENDELEA INBOX)
Hataacha hio tabia beleve or not, anaweza cool hata two years ila haatacha kamwe na hawezi mfuta X wake rohoni mwake, ipo siku utakumbuka ushauri wa watu mbali mbali humu na itakuwa ni tooo late,Sijifariji nimeshare uhalisia ulivyokuwa.
Sasa hapo MKE Ni Nani?Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.