Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Ni ujinga ku deal na mgoni wako Sasa uta deal na wangapi ? deal na mkeo maana yeye ndio main character
 
Unapoingia kwenye ndoa na familia lazima uwe tayari kupambana na changamoto kama hizi.
Nimependa jinsi ulivyoliendea Hilo swala yaani kiutuuzima,sina tatizo na wewe kumsamehe,Ila nadhani kuonyesha kwamba umekereka ingebidi ungeamua aende Kwanza kwao akakae kama mwezi hivi apate kujitafakari vizur na kuona ubaya wa kitendo chake au kama wewe ni muislamu waeza kumtenga Kwa kipindi cha miezi minne atie akili Kwanza, hapo inamaana hulali nae kitanda kimoja na hukutani nae kimwili lkn mambo mengine ya huduma yanaendelea kama kawaida, hapo ataujiuliza hapa sijaachwa hivi je nikiachwa itakuwaje.

Ila fanya Jambo ambalo litaonyesha umekereka sana
 

Tatizo mkuu hutakua na furaha
Niamin mimi hutakua na AMANI
 

Kachaaaaaaaaa!!!!!
 
Amejutia kosa lake kwakuwa umemdaba. Usingemdaba, abadani, asingeona kama anachokifanya ni kibaya.

Unajua anavyochepuka huwa anamwambia na kupanga nini na mchepuko?.

Kusaliti ni kama uhaini. Akosaye uzalendo hapaswi kuishi.

Nashukuru.
 
Unaweza ukaona ni rahisi, lakini hii adhabu ni kali sana, pengine kuliko hata hizi ulizozipendekeza hapa
Adhabu kisaikolojia Ni kkubwa,
ila haiwez kumfanya kujutia alichokufanya asirudie Tena kukifanya.

Lazima mkeo umtengenezee hofu ya matokeo ya kukucheat, sio ajue akikucheat ukikasirika utaishia kufua nguo na kuosha vyombo.

Huo Ni udhaifu sana na kuonesha kwake hupindui, na anajua umemsamehe Kwasababu unampenda Sana na huna mbadala.

Kwanza kile l kitendo Cha kuwahi mapema ana imani anajua huna pa kwenda, Ndo maana umerud nyumban mapema sababu ya wivu wako.
 
Nakuelewa sana unajua kuna vitu vinapotokea ndani ya ndoa vinahitaji uvumilivu na uhamuzi wa busara kwanza kuliko nguvu. Waswahili wanasema unaweza kuruka mkojo ukakanyaga mavi.
 
Uko sahihi ndiyo maana nilihamua nimuhadhibu hivyo kwanza.
Narudia Tena,
Hapo Hamna adhabu yoyote ya maana uliyomuadhibu, Kwa Mwanamke Ni Kawaida Sana kujishusha anapokosea.

Ila kumsamehe HARAKA Tena kizembe namna iyo umekosea Sana, ulipaswa uombe USHAUR tukushauri adhabu nzur ya kisaikolojia, I'll sio hiyo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…