Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

SHIDA MNAOA WANAWAKE HAMFANYI UCHUNGUZI KUHUSU MAISHA YAO, MAGONJWA, MAHUSIANO YALIYOPITA, NA FAMILIA ZAO... Halafu badala ya kuinjoi ndoa mnatumia muda mwingi kuwatibia kuhangaika hospital na kutumia pesa nyingi...
Embu rudia kusoma ulichoandika, maana ndipo tatzo lilipo kwa mkeo 👇👇

Nb; miaka ya nyumba background yake aliwahi kuwa mpenzi wa madawa ya hospital sana kutibu maradhi mengine kama Typhoid, Fungus ukeni, UTI za mara kwa mara. Alikua anabugia dawa huko nyuma kama njugu.
MKUU UMEOA?
 
Ndo unamuangaikia hivi mkeo bahati nzuri anapona anaanza kutema utelezi wa kutosha, Mwisho wa siku unagundua kaanza kuchepuka na kutoa utelezi kwa njemba ya kataa ndoa
 
Back
Top Bottom