Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

Mpeleke kwanza hospitali akapime damu mjue status za hormones, walau mjue zimeenda kinyume kiasi gani.
Halafu rudi hapa kutoa mrejesho ndo ushauriwe kwa upana
Sawa mkuu. Nitalifanyia kazi
 
Pole sana.
Tendo la ndoa liko kisaikolojia sana, linahitaji utulivu wa mwili na akili.
Katika maelezo yako umesema kwamba anapanic na kuwa na hasira vitu ambavyo huathiri vichocheo mbalimbali ambazo huhitajika katika kuleta msisimko na kuchochea kuzalishwa kwa uteute pamoja na kuongeza hamu ya tendo lenyewe.

Kwa sasa inakubidi wewe umfariji na kumtia moyo mwenzako ili ajiamini, asiwe na wasiwasi au kupanic, anatakiwa awe na utulivu. Panic na hasira huvuruga kila kitu.

Mwisho, ni muhimu aende hospital ili akaonwe na daktari bingwa wa kina mama (obstetrician and gynecologist) kwa ajili ya uchunguzi na vipimo ili kubaini kama kuna tatizo lolote lenye kuhitaji matibabu

Hata hivyo, matumizi ya dawa za hospital hazina uhusiano wa moja kwa moja na tatizo linalomsumbua kwa sasa.
Sawa mkuu nitafanyia kazi. Nashukuru
 
Tumieni wote Star Anise ya unga... Kijiko kidogo mara mbili kwa siku... Utaleta majibu Mkuu📍🙏🏾
asante mkuu.. hii star anise inapatikana wapi na ipoje. Vipi kuhusu matumizi ya hivi vijiko viwili unaweka kwenye nini ?
 
asante mkuu.. hii star anise inapatikana wapi na ipoje. Vipi kuhusu matumizi ya hivi vijiko viwili unaweka kwenye nini ?
Maduka wanayouza vitu vya asili ambavyo ni good quality na genuine.

Ukipenda unaweka asali kijiko kimoja inatosha.
 
Maduka wanayouza vitu vya asili ambavyo ni good quality na genuine.

Ukipenda unaweka asali kijiko kimoja inatosha.
Unachanganya kwenye maji ya baridi au ya moto...?

Haya ya dawa za asili au supermarket?
 
Huyo
Ndugu zangu salaam

Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba.

Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa kutungisha mimba hamna kabisa zaidi utamhisi kwa ndani ni mbichi kidogo na ukipump dk chache anakauka tena.

Amejaribu kutumia maji ya bamia, chai ya mdalasini, karafuu na tangawizi bila kuweka sukari, pia juice ya beetroot bila mafanikio.

Mzunguko wake inshort haueleweki anaweza akawa na siku 25,26, 27 ( na hata ukitafuta wastani huwezi kupata maana ni random), miezi mingine anaweza akawa hivi 27,27,26 , mingine 25,27,25, mingine 26, 25, 25. Hata ukijumlisha kutafuta wastani kila baada ya miezi mitatu zinapishana.

Siku zake za kuona damu ni 5.

Dalili anazokuaga nazo.

  • Punic na hasira sana kupita kiasi
  • Kuumwa matiti
  • Kichefuchefu
  • Kuumwa kichwa mara chache
  • Kuumwa Tumbo chini ya kitovu na wakati mwingine juu ya kitovu
  • Kuumwa upande wa kushoto karibu na kiuno
  • wakati mwingine mara chache Kuumwa upande wa kulia karibu na kiuno
  • Kizunguzungu
  • Mwili kuchoka sana mara kwa mara kiasi cha kujisiki hali ya uvivu

;: Hana fungus, UTI, PID wala mimba hana.

Nb; miaka ya nyumba background yake aliwahi kuwa mpenzi wa madawa ya hospital sana kutibu maradhi mengine kama Typhoid, Fungus ukeni, UTI za mara kwa mara. Alikua anabugia dawa huko nyuma kama njugu.

SIFIKIRII ATUMIE DAWA ZA HOSPITALI KUTOKANA NA HISTORIA YAKE MBAYA YA KUTUMIA SANA MDAWA HOVYO,

NAOMBENI USHAURI WA KINA SANA

ASANTENI
anatakiwa afanye check up kabla ya kutumia dawa ,pls tuwasiliane nikuelekeze akafanye check up ,
 
Huyo ndio mwanamke mzuri, hujui tu ila mark mu post utakuja nishukuru baadae

Ila asiee malaya tu maana hawa kushika ukimwi ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom