Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

Mpeleke kwanza hospitali akapime damu mjue status za hormones, walau mjue zimeenda kinyume kiasi gani.
Halafu rudi hapa kutoa mrejesho ndo ushauriwe kwa upana
Sawa mkuu. Nitalifanyia kazi
 
Sawa mkuu nitafanyia kazi. Nashukuru
 
Tumieni wote Star Anise ya unga... Kijiko kidogo mara mbili kwa siku... Utaleta majibu Mkuu📍🙏🏾
asante mkuu.. hii star anise inapatikana wapi na ipoje. Vipi kuhusu matumizi ya hivi vijiko viwili unaweka kwenye nini ?
 
asante mkuu.. hii star anise inapatikana wapi na ipoje. Vipi kuhusu matumizi ya hivi vijiko viwili unaweka kwenye nini ?
Maduka wanayouza vitu vya asili ambavyo ni good quality na genuine.

Ukipenda unaweka asali kijiko kimoja inatosha.
 
Maduka wanayouza vitu vya asili ambavyo ni good quality na genuine.

Ukipenda unaweka asali kijiko kimoja inatosha.
Unachanganya kwenye maji ya baridi au ya moto...?

Haya ya dawa za asili au supermarket?
 
Huyo
anatakiwa afanye check up kabla ya kutumia dawa ,pls tuwasiliane nikuelekeze akafanye check up ,
 
Huyo ndio mwanamke mzuri, hujui tu ila mark mu post utakuja nishukuru baadae

Ila asiee malaya tu maana hawa kushika ukimwi ni rahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…