Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

J
Muueleze ikiwezkana mjianddike wote hata kwenye kiwanja chako mjiandike wote. Muueleze ukweli usigugumie kwa maumiv
 
Too late.
Hapo ni heri angeleta ugomvi wa wazi na kutaja lengo lake ungesolve kibabe sasa anapambana na wewe kimyakimya utajichomoaje?
Yaani hapo mpaka Ukoo wake wote wanajua kuwa ana miliki nyumba.
Ila bado wewe umeshikia makali.
Ukizibaa soon tutakuandikia rip
 
Na tunakosea sana kiukweli
Mnakosea mno. Kuna miongoni mwenu huwa mnadiriki kutamka kwa waume zenu. Utasikia baba fulani unajua nafanya hivi ili ukifa nisihangaike na hawa watoto.......[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Hii kauli inavunja sana moyo kwa mwenza wako. Kifo ni Siri anayojua Mungu pekee, kwanini umtabirie mwanaume wako kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanawake karibia wote wako hvyo siku hz wanawaza mali tu

Ngoja nikupe mfano wangu nilimpa 2mil katengeneza duka bahati nzuri limeenda vizur sana,maana tulikuwa hatulitegemei kwa chochote lakin kutokana na duka kukuwa namuona kabisa ameanza kuvimba na mwanzo alikuwa anasema duka ni la mwanaume ila sahv ni lake na mimi nimemtulizia tu maana hata nikihitaji laki 2 siwez pewa
 
Basi na Watoto pia awaandike majina yake, huyo Mwanamke Kama kaamua kua yeye ndiyo awe baba mwenye Nyumba!!
 
Mkeo ni mbinafsi kama ulivyo wewe. Andikisheni umiliki wa pamoja ( Mr. & Mrs), ndoa ni muunganiko, mnakuwa wamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Watu ni wabinafsi sana japokua wako kwa Ndoa, tena unaweza kuta hata humo ndani mwao Wana vyombo viwili viwili, vyombo vya Mume na pia kuna vyombo vya Mke, mfano unaweza kuta hata vitanda viko viwili,kitanda Cha Mume na kitanda Cha Mke Nyumba moja!!
 
Hiyo inakuwa ndoano sio ndoa. Ndoa ni muunganiko ,mke na mume wawe kitu kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mkeo atakuwa mrangi.....wanawake wa kirangi kwa kupenda mali za bure🤔........pia kuwa makini sana ukiwa mbishi aidha akufanye uwe chizi au akuuwe kabisa
 
Ni lazima aandike nyumba ni yake ila owe half na akijenga yeye aandike half niyako na half ni yake ndio mwili mmoja upo nenda tra kaandike hivi mf. Jeska na Malia ndio waridhi wahalali wa nyumba iliyopo kata wilaya na mkoa halafu unamuonyesha unahifadhi
 
Mkeo Ashaoata Jamaa Anamgonga Now Anatafuta Tu Usalama Wa Maisha Yake Kwako Sio Mapenzi Tena, Ushauri Acha Ujinga
 
Muulize ili iweje?
 
Kubali yaishe mwache aandike jina lake maana hata kiwanja alinunua yeye kwa jina lake ila tu pambana ukajenge kwenye kiwanja chako hamna namna. game over
 
Jaribu kukaa naye chini umuulize Kwann anataka liandikwe jina lake alafu msikilize point zake alafu na ww mpe point yako mjengee hoja muandike majina ya watoto ili kumaliza mgogoro na mulinde ndoa yenu inanikumbusha Ng'ombe wa mwana heli kala shamba la mbwana heli vyote ni vya heli
 
☹️☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…