Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Mke amheshimu bwana kama kichwa cha nyumba, ni kiburi kwa kuwa kiwanja ni chake. Ajue vitu vyote ni vyenu kwa kuwa mmekuwa mwili mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli mchunguMkeo Ashaoata Jamaa Anamgonga Now Anatafuta Tu Usalama Wa Maisha Yake Kwako Sio Mapenzi Tena, Ushauri Acha Ujinga
Huyo mkeo ana kauchoyo Fulani hivi . Ana tamaa ya mali ulizochuma. Ana tamaa Sana huyo M mwananke. Chukua hatua mapema kabla mambo hayajaharibikaHabari wadau wa jukwaa hili pendwa,
Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa nimenunua kiwanja changu katika wilaya hiyo hiyo ila kwenye tarafa mojawapo.
Tulipooana tuliamua kuishi wilayani, kipindi hicho mimi nilikuwa sina kazi ila yeye alikuwa na kazi japo si mshahara mkubwa na alikuwa kwenye kata mojawapo katika wilaya hiyo nami nilikuwa nimepanga makao makuu ya wilaya, ambapo yeye ndiyo alinunua kiwanja.
Mwaka mmoja baada ya ndoa nikaajiriwa mkoa mwingine hivyo nikamuacha yeye na mtoto, yeye akiwa bado anafanya kazi.
Nikaanza kujenga msingi kwenye kiwanja changu na sikuendeleza nikaachia kwenye msingi. Baadaye nikapiga msingi kwenye kiwanja chake.
Mwaka moja baadaye yeye akaachishwa kazi pale alipokuwa anafanya kazi, ikabidi niwachukue nikae nao mjini. Lakini nikaona ni gharama sana kupanga mjini na mshahara ni mdogo, nikaamua kuchukua mkono nikaendeleza msingi katika kiwanja chake kwa maamuzi kwamba, niendeleze hata vyumba kadhaa halafu niirudishe familia wilaya wakakae huko, mimi nichukue chumba kimoja kupunguza gharama.
Hili pia lilichangia na mgogoro, nikaona siku moja nitapoteza kazi halafu sina pakukimbilia wakati natafuta kazi nyingine. Nikaanza ujenzi na taratibu zote halmashauri nilifanya kwa jina langu. Nikajenga vyumba viwili nikaweka na umeme nikahamisha familia. Kwa sasa wana miezi kadhaa nakuwa nawatembelea walau kila mwisho wa mwezi.
Kilichonifanya niandike uzi huu ni kwamba mke analeta jeuri kwenye hiyo nyumba, kwa kiasi fulani amebadilika, maana juzi kati tulitofautiana jambo fulani dogo nikagundua kiburi kimempanda sana.
Pili, sasa hivi anapambana hati iwe kwa jina lake. Kwa sasa tuna harakati za kuweka maji anajitahidi ajaze fomu yeye kwa jina lake na pia juzi nililipia hela B con na imewekwa sasa yeye anataka kujiandika kama mwenye nyumba.
Ebu naomba ushauri wenu nimuache ajiandike? Nia yangu mimi ni kulinda ndoa yetu, maana naona yeye kama akipata umiliki atanisumbua na tutasababisha mgogoro utakao wasumbua watoto wetu.
Ebu naombeni ushauri kulingana na uelewa na uzoefu, maana mimi kama baba mwenye nyumba ni wajibu wangu kulinda familia yangu, wakina mama wanadanganyika haraka sana. Natarajia kumpiga marufuku harakati zote kwa mamlaka niliyonayo ila nasubiri ushauri wenu.
Asanteni.
Hauna mke hapo una kiburudisho mkuu.Habari wadau wa jukwaa hili pendwa,

Kosa ni kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke na una cha kwako. Hapo usipoangalia utakufa mapema sana. Umeshafanya kosa na sasa ushauri wangu ni kuwa ujitahidi ujenge kwako. Uhame hapo kwa mkeoHabari wadau wa jukwaa hili pendwa,

Kilinunuliwa mkiwa mnaishi pamoja au kila mtu kivyake? Tuanzie hapo.Habari wadau wa jukwaa hili pendwa,

Hapana alinunua mwenyewe kabla hatujaoanaKilinunuliwa mkiwa mnaishi pamoja au kila mtu kivyake? Tuanzie hapo.
Jaribu kukaa naye chini umuulize Kwann anataka liandikwe jina lake alafu msikilize point zake alafu na ww mpe point yako mjengee hoja muandike majina ya watoto ili kumaliza mgogoro na mulinde ndoa yenu inanikumbusha Ng'ombe wa mwana heli kala shamba la mbwana heli vyote ni vya heli
Hapana alinunua mwenyewe kabla hatujaoana
Nimeshamsimamisha kuendelea na hizo taratibu kwanza hadi nifike Mimi amekubali. Options zipo mbili tu akubali niandike jina langu kama head of the family na ya pili niandike jina la mtoto wetu mkubwa.Mwache aandike jina lake kwenye hati, mita ya umeme, mita ya maji, hata ulinzi shirikishi aandike jina lake.
Jumuia, kanisani aandike jina lake.
Kila kitu aandike jina lake.
Halafu usiendelee tena kukarabati hiyo nyumba. Ishia hapo ulipo maana hujafika mbali.
Usimuulize, wala usipingane naye hukusu nyumba.
Fanya kazi kimya kimya na anza kujenga kimya kimya. Huyo mtaachana siku si nyingi. Na ukiwa na kwako utakuwa na uhuru wa kuanza upya.
Kuanza upya si ujinga.
Wanawake wabinafsi sana. Wakiwa na mali hawawezi kujizuia kwa ubinafsi.
Hata ikifika mahali akaanza kuleta mahaba, kuwa makini!
Kuandika la kwake nitakuwa nimeharibu kabisa hiyo ndoa kwa hali ninayoiona. Sikatai kwamba huenda tukaachana hata kwa kitu kingine huko mbeleni lakini kwa hili siwezi kukubali nawajali sana watoto wangu na nawapenda sana.Nimeshamsimamisha kuendelea na hizo taratibu kwanza hadi nifike Mimi amekubali. Options zipo mbili tu akubali niandike jina langu kama head of the family na ya pili niandike jina la mtoto wetu mkubwa.
Tuna watoto wawili Sasa. Mimi sikatai kuandika jina lake. Shida ni kwamba hawezi kuhimili maana baada tu ya kuhamia ameshakuwa kiburi akiandika Majina yake tutasumbuana sana na siko tayari tufarakane kwasababu ya watoto wangu nitampa hizo options mbili nopozotaja asipokubali nitatafuta option ya tatu.Kama ni mkeo na mna cheti cha ndoa,na ameshakuzalia watoto mwache aandikishe jina lake.After then mwishowe itakuwa nyumba ya watoto tu.
Wachaga ninawqkubali siku zote lakini hili ndilo tatizo sugu la wanawake wa kichaga.Mkeo anatazama sana mali kuliko ndoa na future yenu pamoja na watoto.
Kimsingi tayari ulisha fanya makosa kujenga kwenye kiwanja cha mkeo kabla ya kujadili kibadilike na kua kiwanja chenu (nadhani ulimuamini kama mke na mama wa watoto wako).
Haya uliyo yaeleza tayari ni dalili mbaya kwa afya ya ndoa yenu.
Nakushauri uishie hapo ulipo komea, usionyeshe tofauti, kuchukizwa wala kung'ang'ania nyumba uliojenga kwenye kiwanja cha mkeo na upatazame kama kituo cha kuwalelea watoto wenu.
Ongeza bidii kwenye kazi/tafuta kazi, na anza kuendeleza kiwanja ulicho kinunua ili nawewe uwe na kwako.
Pole sana mkuu
HahahahaNi 'heri' siyo 'heli'. Acha ujinga!