ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ahaa haya sawa90% wapo mahali walipo kwa sababu ya ushawishi wa kingono.
Kuna kijiji niliishi wanawake wote ninaowajua waliokuwa very active kwenye issue za siasa waliishia kuachana na waume zao. Sasa kama huko local areas mambo ni hayo, unategemea kwenye maslahi zaidi patakuwa na slope?
Mm ninawajua wanawake wawili.Ndio umeona wangap waliotumika kingono
Na niwangap ambao hawakutumiwa ili tulinganishe
HayaAhaa haya sawa
Aisee hii nomaMm ninawajua wanawake wawili.
Tena ni wazuri haswaa. Wameenda hewan. Weupe , mmoja kachanganya na Uarabu ,
wote walikuwa wanausaka udiwan. Harakan walianza 2023. Mmoja ni Temeke na
Mmoja alirudi kwao Mtwara.
Huyu wa Temeke ni mshirikina, kuna kipind alipataga mume wa mtu akamroga had akasahau familia. Na rafik ake wa karibu ndiye alisema ana mganga mzur anataka aroge awe mwanasiasa. Na kweli nikaona kaanza Siasa. Na ninamjua vizur ni Malaya mmoja.
So juhudi hazikuzaa mtunda 😢Huyu wa mtwara alikitembeza Balaa had picha zake zilivujishwa huko kwao. Na sms za kujitongozesha kwa viongozi wa CCM.
Hawa walikuwa Chawa kweli kweli.
Kipind hiko 2023-2025 instagram na whatsapp status ilikuwa haipoi na mapicha yao ya Kijani.
Ila hawakupata ile nafas.
Hapo jibu analo mwenyewe mkuusasahivi naona kama wote wamepunguza uharakat. Picha za Mama na CCM wamezifuta kwa Instagram pages zao.
Sasa Shemej yetu yuko tayar kupambana na yote haya?.
SafiiiHaya
Leo nipo lindo huku maeneo ya Pugu Road, ukipita utanikuta na sare zangu za Suma.
Mfano kwa CCM unaweza ukaona ni rahisi kusema mm ni CCM alaf ukadhan watakupa jukwaa uonyeshe umahiri wako wa siasa.Ahaa haya sawa
Mpka connection 😊Mfano kwa CCM unaweza ukaona ni rahisi kusema mm ni CCM alaf ukadhan watakupa jukwaa uonyeshe umahiri wako wa siasa.
Thubutuuu 😊😊😊
Mlolongo uko complex sana.
Ni yupi huyo mie ni mgeni humu jukwaaniHawa Chawa wa humu ndan wenyewe hasa yule aliyeweka jina lake kamili. Anaweza akaenda Jimbon kwake akaomba nafas ya uongozi na asipewe.
CCM ina wenyewe kweliMambo sio marahisi hata kidogo.
CCM ina wenyewe.
Lucas washamlamba.Ni yupi huyo mie ni mgeni humu jukwaani
Mkuu jiangalie vizuri, mkeo ana mentor wa kisiasa kisirisiri.Hamjambo wote!
Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.
Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.
Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.
Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.
Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.
Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.
Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.
Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.
Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!
Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.
Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.
Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Nakikumbuka.Labda awe malaika niulize Mimi yaliyonikuta
Siasa kwa mwanamke n sawa na kuweka rehani mahusiano yenu
Nilisha wah leta kisa changu kuhusu jambo hili kupitia Uzi fulan
Yalikukuta niniBasi mpige biti asiende huko utakuja kunishukuru.
M-support.Hamjambo wote!
Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.
Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.
Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.
Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.
Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.
Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.
Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.
Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.
Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!
Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.
Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.
Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Aisee kama ni hivyo amuhudumie mme wake hamna namnaLucas washamlamba.
Pamoja na harakat zake anaweza akaomba kugombania cheo na akakosa .
Alaf yule Diwan aliyepata , alianza harakat 2017 hiv alifungua Kampun ya kukopesha wakina mama tu , wanaofanya biashara ndogo ndogo . mikopo ya riba nafuu. Kafungua kaofisi kake.
Na alienda kwenye vile vikund vya kina mama akamwaga hela.
Mwenyewe aliniambia alipoteza karibia 60 Million . Na bado aliwapa kula baadhi ya viongozi wa wilaya na mkoa.
Na ndio jina lake likapita 2020. Na kweli alipata Udiwani.
tena Ukiwa maskin na hujui uanzie wap.
Nafas za Uongozi CCM ni ndoto.
Yupo mshikaji wangu yalimkuta, nilimuonya akaniambia hiyo ni fursa ya wao kuweza kuinua familia yao, lakini ikawa kinyume mwanamke kapewa ubunge wa vitu maalumu na ndiyo ikawa balaa kaota mapembe anamanuliwa na wafadhlili waliompa ubunge kuanza kumuona mumewe siyo wa hadhi yake tena, ndoa illegal lega mwisho mwanangu akajikata na kumuacha mke kabisa. Labda kama mwanamke ana sura ngumu kama yule msemaji aliyestaafishwa kwa lazima wanaweza wakampotezea tu.Yalikukuta nini
Unajua sana patern 😂
Mwambie siasa ni mchezo mchafu, ataweza? Anajua sabani za kuogea punde anapochafuka?Hamjambo wote!
Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.
Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.
Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.
Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.
Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.
Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.
Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.
Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.
Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!
Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.
Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.
Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hapo ndo kuna tatizo. Hakuna uwezekano wa mwanamke mrembo kutoboa kwenye siasa bila kutumika sana, tena kote kote !!Na kwa wanawake ndio weng wataishia kulala na viongozi wa juu ili wapate watetezi na kuchaguliwa sehem kuiwakilisha hiko chama.
M-support.
Kuwa Strategist7 behind her success. Hii itampunguzia kutumika.
Wanasiasa wote wanawake waliofanikiwa ni ama wana support za waume zao au za familia (ndugu) with exceptional ya wale waliofanya siasa chafu akina Nshoza .
Mmeandaa shingapi?