Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Luca,coco,Ratatouille etc
I like animation! Mimi binafsi ninaamini wanaotengeneza vile vitu wana akili sana na wako far ahead of time
 
Luca na Coco nazijua, hiyo nyingine nitaitafuta.

Umewahi kuangalia Kubo & the two strings?
Itafute aysee,ni kali sana! Kubo naijua!
Zingine hizi zitafute:
Encanto
Big hero 6
Finding Nemo
Zootopia
The Grinch
Hotel Translyvania zote
Spirited away
Frozen zote
Tangled
Madagascar
Despicable me
Sing zote
Elemental
Your name
Soul
Anza na hizo Nifah
 
Hapo nimeangalia 7, tatizo siku hizi niko busy nina mambo mengi ila hii list naitunza.
Asante
 
Nakazia
 
Mke yopo anajifunza kiingereza hujui cartoons zinafundisha kinge?

Mimi nilimpigia mshikaji wangu yupo rwanda anajua lugha nyingi nikamuomba aniambia ni njia gani nitajifunza ki spanish, ahaaaa akanijibu niangalie cartoons, nilichoka sana yaani mimi na uzee huu niangalie catoons kama mtoto?

So acha mkeo ajifunze watu tuna malengo moyoni lazima yatimie kimya kimya.
 
Usimlaumi mkeo binafsi Mimi Nina miaka 46 ninapendelea kuangalia katuni sana tu hasa Donald duck,tom&Jerry,goofy,pluto,Mickey mouse,luney tunes,tazmania,n.k Tena pamoja na wanangu wanne mkubwa ana miaka 11 ka mwisho ila sio Kwa umuhimu kana 3,tambua ndizo zilizonikuza nakataaje kuangalia uzeeni
 
Analiwa huyo
 
Mtoa mada asitake mabadiliko ambayo yatamfanya ajutee....Shenzi, Pumbaa, Benzai and Ed in Lion King πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…, basi ngoja nitulie tu, yawezekana uzee umesha nivaa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…