Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Upo vizuri...
 
Pamoja mkuu..mshukuru Mungu na muombe mkeo afya njema na amlinde na macho ya watu wabaya...hapo umepata mkuu,hongera sana!
🀝🀝🀝, Asibadilike tu.... Maana hawa viumbe. Mungu ndo anayejua
 
Mwanamke anabadilika pale anapokuona wewe umebadilika..kitu pekee anachokitaka mwanamke ni upendo wako juu yake na kumsupport mawazo yake hata ni ya kijinga lakini unapomuitikia anaona unamsikiliza na unampenda.
 
hata mimi kiukweli katuni napenda mpaka wife huwa ananishangaa na sioni tatizo na haina madhara
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ, Yawezekana hapa, Ndo huwa tunafail, hasa pale tunapotaka sisi wanaume kila kitu iwe kauli ya mwisho... Bila Kusikiliza kauli za upande wa mke nini anahitaji.
 
hata mimi kiukweli katuni napenda mpaka wife huwa ananishangaa na sioni tatizo na haina madhara
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Bila shaka hapo, inaonesha kabisa wewe ni mtoto wa kishua, mke ni mtoto wa uswazi
 
Binafsi ni moja ya watu tunaopenda katuni ukitoa katuni ni zile series za kutisha basi kitaalam katuni ni afya ya ubongo toka zamani

Kuwa na amani
 
Asilimia kubwa humu nimeona wanaume kwa wanawake wanapenda sana cartoon, haya masuala ya cartoon nilidhani kwa ajili watoto wadogo.
 
Aloo Mtafutie shamba akalime hatakumbuka tena kushangaa makatuni hayo, akiludi kutoka shamba unampelekea moto wa maana, kila siku hivyo hivyo
 
Mhh zote hizo katuni unazijua 😳😳
 
Aloo Mtafutie shamba akalime hatakumbuka tena kushangaa makatuni hayo, akiludi kutoka shamba unampelekea moto wa maana, kila siku hivyo hivyo
😬😬, ukatili huo mkuu, Kupeleka moto kila siku ni ngumu sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…